Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ametoa shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!
Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport...
Jennifer Jovin, Niffer wewe Niffer, wallah unanikosha sana hehe; wao na matatizo yao sio habari zako, waache watulie na rozari zao wapige dua. Kazana sana, sisi Waislamu pia tupo pamoja nawe na tunaendelea kukuombea; hao wanaokusumbua hata wawe wengi kiasi gani hawawezi kumshinda Allah, kwani...
Kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 21 inatarajiwa kuendelea leo Novemba 25, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Leo mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi juu ya hoja za mapingamizi zilizowasilishwa na upande utetezi (ukiongozwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa uhalali wa hati ya kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (26), maarufu Niffer na wenzake 21, Novemba 25, 2025.
Mahakama hiyo imepanga tarehe hiyo kutoa uamuzi huo, leo Jumanne, Novemba 11, 2025, baada ya...
Mfanyabiashara maarufu Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya uchochezi na kuhamasisha vurugu wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.