Kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 21 inatarajiwa kuendelea leo Novemba 25, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Leo mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi juu ya hoja za mapingamizi zilizowasilishwa na upande utetezi (ukiongozwa na wakili Peter Kibatala) ukiiomba mahakama wateja wao wapatiwe matiabu na taarifa ya matibabu iletwe mahakamani, hoja ambayo ilikubaliwa huku ile ya kupinga juu ya uhalali wa hati ya mashtaka ikitarajiwa kutolewa uamuzi wake leo.
Katika mahakama hiyo pia shauri la uhaini linalomkabili Paulina Pallangyo na wenzake 93 linatarajiwa pia kuendelea katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Makube.
Soma pia Kibatala: Tutampigania NIFFER na wenzake 21 wapate haki yao, washtakiwa walishiriki kwa njia ya mtandao