PostGE2025 Niffer kazana kusali, sio muda mtu anatemeshwa Bungo

PostGE2025 Niffer kazana kusali, sio muda mtu anatemeshwa Bungo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
1764138607692.png

Jennifer Jovin, Niffer wewe Niffer, wallah unanikosha sana hehe; wao na matatizo yao sio habari zako, waache watulie na rozari zao wapige dua. Kazana sana, sisi Waislamu pia tupo pamoja nawe na tunaendelea kukuombea; hao wanaokusumbua hata wawe wengi kiasi gani hawawezi kumshinda Allah, kwani Agustino amesema Allah hamwangushi mja wake ila humpa nguvu na subira.

Haki ikianza kufanya kazi, watu wanaotenda ubaya hupata matokeo ya matendo yao; mwisho wa ubaya ni aibu, basi jiandaeni kusherehekea—na bado.
 
Polee take sanaa! Hope atatoka akiwa salama kabisaa.
 
Alijifanya mtaalam wa kuchochea vurugu leo anatembea na tasbihi kubwa kama imam wa mabaniani.

Ashughulikiwe hadi iwe funzo kwa ukoo wake.
 
Alijifanya mtaalam wa kuchochea vurugu leo anatembea na tasbihi kubwa kama imam wa mabaniani.

Ashughulikiwe hadi iwe funzo kwa ukoo wake.
Kabisa wanatesa mama zao wanaangua vilio tuu
 
Alijifanya mtaalam wa kuchochea vurugu leo anatembea na tasbihi kubwa kama imam wa mabaniani.

Ashughulikiwe hadi iwe funzo kwa ukoo wake.
Alafu wewe na familia yako mnafaidika nini yeye akitendewa hayo unayoyataka?
 
Alafu wewe na familia yako mnafaidika nini yeye akitendewa hayo unayoyataka?
Familia yangu inanufaika kufanya biashara kwa amani bila kuvunjia kuibiwa wala kuharibiwa mali.
 
Mamaake aache kujiliza huu muda anaojiliza sasa alitakiwa amuonye mtoto wake mapema, kama amemlea kimayai dunia inamfunza.
Kutumia mamlaka kutesa na kunyanyasa wengine ni ushamba. Tumieni kuleta maendeleo mnayoyaahidi sio kujitajirisha na familia zenu alafu mkiguswa mnawatesa na kuwanyanyasa wananchi
 
Kutumia mamlaka kutesa na kunyanyasa wengine ni ushamba. Tumieni kuleta maendeleo mnayoyaahidi sio kujitajirisha na familia zenu alafu mkiguswa mnawatesa na kuwanyanyasa wananchi
Muhalifu lazima ateseke hakuna huruma kwa wahalifu.
 
Back
Top Bottom