PostGE2025 Niffer kazana kusali, sio muda mtu anatemeshwa Bungo

PostGE2025 Niffer kazana kusali, sio muda mtu anatemeshwa Bungo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yan wewe ni li shetani kuliko hata shetani mwenyewe .. **** la lako
 

Jennifer Jovin, Niffer wewe Niffer, wallah unanikosha sana hehe; wao na matatizo yao sio habari zako, waache watulie na rozari zao wapige dua. Kazana sana, sisi Waislamu pia tupo pamoja nawe na tunaendelea kukuombea; hao wanaokusumbua hata wawe wengi kiasi gani hawawezi kumshinda Allah, kwani Agustino amesema Allah hamwangushi mja wake ila humpa nguvu na subira.

Haki ikianza kufanya kazi, watu wanaotenda ubaya hupata matokeo ya matendo yao; mwisho wa ubaya ni aibu, basi jiandaeni kusherehekea—na bado.
Huyo ana mpunga ndiyo maana wamemuacha ,wamefanya hivyo kusudi ili wamtoboe MIFUKO.
 
Halafu nyie ndo mnamponza huyu binti kudhani anaweza shindana na serikali akashinda. Kutunishiana misuli na serikali haiwezi kukuacha salama.
 
Nimeondoka JF kitambo narudi nakuta wajinga ni walewale hawajabadilika.
 
Back
Top Bottom