Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ametoa shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!
Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport na kutoa shukran zake kwa serikali na Samia kwenye ushindi wake, lakini sasa amshukuru nani? Si ndo hao mmesikia wametoa hela wenyewe mkaona Niffer ako na mapenzi ya kutoa pesa zake mfukoni! Mitano tena kwa Samia?
Soma Pia: Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan
Sasa wale mmetoa afmbili zenu itakuwaje? Haya turudi kwenye maamuzi ya Lissu, Vifo vinavyotokana na wivu wa mapenzi, Katiba Mpya..... somo litatuingia tu au vipi Wakuu?