Niffer: Ushindi wa Jihan usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!

Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!

Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport na kutoa shukran zake kwa serikali na Samia kwenye ushindi wake, lakini sasa amshukuru nani? Si ndo hao mmesikia wametoa hela wenyewe mkaona Niffer ako na mapenzi ya kutoa pesa zake mfukoni! Mitano tena kwa Samia?

Soma Pia: Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan

Sasa wale mmetoa afmbili zenu itakuwaje? Haya turudi kwenye maamuzi ya Lissu, Vifo vinavyotokana na wivu wa mapenzi, Katiba Mpya..... somo litatuingia tu au vipi Wakuu?:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

View attachment 3688120
Miss wa mama
 
Umesikika Nifa.

1791654869870.png
 
Halafu alivyo mjinga awamu ijayo atahamasisha tena wabongo kumpigia kura mshiriki wakati kuna serikali yenye mahela ya kuchota tu.
 
Kama bila yeye asingeshinda basi angeenda yeye mama yenu.
 
Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!

Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport na kutoa shukran zake kwa serikali na Samia kwenye ushindi wake, lakini sasa amshukuru nani? Si ndo hao mmesikia wametoa hela wenyewe mkaona Niffer ako na mapenzi ya kutoa pesa zake mfukoni! Mitano tena kwa Samia?

Soma Pia: Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan

Sasa wale mmetoa afmbili zenu itakuwaje? Haya turudi kwenye maamuzi ya Lissu, Vifo vinavyotokana na wivu wa mapenzi, Katiba Mpya..... somo litatuingia tu au vipi Wakuu?:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

View attachment 3688120
Sijui ni shindani linahusiana na nini, ila niliona post mitandaoni inasema watu wanatumiwa vocha wapige kura, na vocha huwa zinauzwa na ili zinunuliwe zinahitajika pesa na kama pesa zilipatikana means palikuwa na mtoaji wa pesa. Sasa hapo kuna kipi amekosea, kama yeye ndiye facilitator wa huo mchakato maana yake anajua anachokiongea.

Halafu kuna vitu vya kuzingatia, shindani halina kuchwa wala miguu, yaani mshindi wake ni kura za watu, yaani hata mimi nisiyejua shindani linahusu ni i, wanaoshindana ni akina nani kwa vigezo gani bado nilikuwa na uwezo wa kupiga kura. Sasa hayo ni mashindano au projects za kupima afya za akili za watu?
 
Back
Top Bottom