Well, kwenye 'vocal' hayuko vizuri sana,ila nadhani singo zake zinafanya vizuri,especially ile ya 'mchimba mashimo'.Aendelee kujitahidi but pia sidhani kama kuitwa kwenye matamasha ni moja ya indicators za kuwa vizuri..especially hapa bongo kuna mambo mengi behind the scene juu ya namna ya kufikia mafanikio kwa hawa wasanii wetu! may be chukua muda kujua mambo ya watu kama Flora mbasha,beatrice muhone,Bahati Bukuku nk unaweza ukabandua ngozi ya uso wako kwa mchangao...ndio maana siku hizi watu wanawaita ''Wasanii wa muziki wa injili'':bange: