Jenifer Mgendi mkongwe wa mziki ila hajatoka

Jenifer Mgendi mkongwe wa mziki ila hajatoka

Huyu jamani Hana karama ya uimbaji analazimisha tu.....kale ka sauti kake hata.....
 
Wasanii wa kike waliotoka wana Siri nyingi sana chini ya carpet yaani suala la kuliwa Ni kawaida Kwao na usiulize kabisa Kama upande wa pili upo salama.....Ni majanga Sema tu hawawezi kusimulia hadharani...!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Unataka atoke vip???Wakati mtu kaolewa ana ishi na familia yake vizuri na watoto wake na mumewe na wanamaisha mazuri tu!!Ama kutoka ni kua na skendo
 
kila leo anajitahid kutoa albam
 
Nimeanza kumsikia jenifa mgendi (mwimbaji wa nyimbo za injili) tokea niko mdogo sana hata shule sijaanza.

Cha kusikitisha had sasa naona kama wanamuonea. Sijamsikia kwenye matamasha wakimjumuisha wala popote japokua bado anaimba.

mikataba ya waimbaji wa injili ni ya kishenzi sana...wengi wao ni makahaba. Wanaingia mikataba mpaka na wahindi wasambazaji wa kanda....na ili whaindi wauze na kukutangaza ni lazima wakukunje....inawezekana Mgendi hataki kutoa pampuchi yake kwa wahindi mabosi wa msama promotions ndiyo maana hata msama hamwaliki kwenye matamasha yake.
 
Alikuwa anafanya kazi chuo cha tiba muhimbili akaacha ili aimbe na kuigiza
 
Well, kwenye 'vocal' hayuko vizuri sana,ila nadhani singo zake zinafanya vizuri,especially ile ya 'mchimba mashimo'.Aendelee kujitahidi but pia sidhani kama kuitwa kwenye matamasha ni moja ya indicators za kuwa vizuri..especially hapa bongo kuna mambo mengi behind the scene juu ya namna ya kufikia mafanikio kwa hawa wasanii wetu! may be chukua muda kujua mambo ya watu kama Flora mbasha,beatrice muhone,Bahati Bukuku nk unaweza ukabandua ngozi ya uso wako kwa mchangao...ndio maana siku hizi watu wanawaita ''Wasanii wa muziki wa injili'':bange:
 
Back
Top Bottom