Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ya Wema Sepetu mnaipenda?
Ila movie yake flani aliyoicheza ni nzuri sijui inaitwaje
Tatizo labda hataki kutoa papuchi,ukiwa mwimbaji wa injili lazima uwe malaya.
Umeandika kwa confidence.Tatizo labda hataki kutoa papuchi,ukiwa mwimbaji wa injili lazima uwe malaya.
Nimeanza kumsikia jenifa mgendi (mwimbaji wa nyimbo za injili) tokea niko mdogo sana hata shule sijaanza.
Cha kusikitisha had sasa naona kama wanamuonea. Sijamsikia kwenye matamasha wakimjumuisha wala popote japokua bado anaimba.