Jenipha Kanumba anafaa sana kuja kuwa wife material

Jenipha Kanumba anafaa sana kuja kuwa wife material

Nimekuwa nafatilia sana filamu za Kanumba, Jinsi binti (Hanipha Daud) almaarufu Jenipha Kanumba alivyoonesha uwezo wake ndio jinsi taswira yake inavyoweza kuja kuonekana katika maisha ya kifamilia. Malezi aliyoyaonesha Kanumba yanaweza kumugeuza hapo baadae kuwa Mke Mwema kwa atakayempata.

Deogratius Nalimi Kisandu
24 Desemba 2017.View attachment 658102


Kanumba aliwala sana watoto wa primary....nashangaa kwanini hajawahi kukamatwa na ulawiti wake.
 
Mafisi bhana...!
Leo mtemi wa ACA ajalalamika kama jadi yake, utaishia kula kwa macho!
 
Back
Top Bottom