Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:-
1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na 20% manually.
2. Timu ya wataalam wa TEHAMA wa humu nchini wakusanywe, wapewe exposure hasa South Korea na watengeneze system ya kudhibiti fraud.
3. Siasa iwe mbali na Mfuko; usiwe wa kuwafurahisha wanasiasa (Ministers);
4. Actuarial Dept iimarishwe na actuarial valuation ifanyike kila mwaka na kutoa mwongozo
5. Katika Social Health Insurance kuwa na package tofauti kama Wabunge, BOT, TRA, NMB n.k ni KOSA KUBWA. Makundi hayo yana mishahara mikubwa hivyo walitakiwa wachangie fedha nyingi zaidi na hivyo kuwepo kwa Social Solidarity. Mtu apate huduma bila kujali alichochangia.
6. Serikali itafute maoni ya wenye uzoefu wa SOCIAL Health Insurance na Actuaries watoe maoni yao ya kisayansi sio ya kumfurahisha mtu yeyote.
7. Board inatakiwa iwe na wataalam wa masuala haya na iwatumie kwa hali hii ilikofikia NHIF. SIYO kuishia kufanya ziara mikoani kuelezea , Vifurushi vya NHIF. Michango inatakiwa izidi malipo ya madai ya watoa huduma,
Soma Pia: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
8. Mfuko ujenge reserve kila mwaka; admin expenses za NHIF ziangaliwe upya;
9. Kazi zote zinazoweza kufanywa na TEHAMA zisitishwe
9. Ajira zinazoweza kufanywa na TEHAMA
10. Mwisho siyo kwa umuhimu; Rudisha Toto Afya Kadi