Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toto kadi ilikuwa ni kadi ya Bima ya Afya ya NHIF inayotolewa kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa na NHIF ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.Toto afya BIMA TOTO
IRUDI HARAKA
Namba 5 na 10 viwe vya kwanza kabisa. Tunahubiri bima kwa wote halafu tunaondoa Toto afya badala ya kuwazoesha wananchi kuwakatia bima watoto wao tangu udogoni. Huu ni uzwazwaNinaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:-
1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na 20% manually.
2. Timu ya wataalam wa TEHAMA wa humu nchini wakusanywe, wapewe exposure hasa South Korea na watengeneze system ya kudhibiti fraud.
3. Siasa iwe mbali na Mfuko; usiwe wa kuwafurahisha wanasiasa (Ministers);
4. Actuarial Dept iimarishwe na actuarial valuation ifanyike kila mwaka na kutoa mwongozo
5. Katika Social Health Insurance kuwa na package tofauti kama Wabunge, BOT, TRA, NMB n.k ni KOSA KUBWA. Makundi hayo yana mishahara mikubwa hivyo walitakiwa wachangie fedha nyingi zaidi na hivyo kuwepo kwa Social Solidarity. Mtu apate huduma bila kujali alichochangia.
6. Serikali itafute maoni ya wenye uzoefu wa SOCIAL Health Insurance na Actuaries watoe maoni yao ya kisayansi sio ya kumfurahisha mtu yeyote.
7. Board inatakiwa iwe na wataalam wa masuala haya na iwatumie kwa hali hii ilikofikia NHIF. SIYO kuishia kufanya ziara mikoani kuelezea , Vifurushi vya NHIF. Michango inatakiwa izidi malipo ya madai ya watoa huduma,
Soma Pia: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
8. Mfuko ujenge reserve kila mwaka; admin expenses za NHIF ziangaliwe upya;
9. Kazi zote zinazoweza kufanywa na TEHAMA zisitishwe
9. Ajira zinazoweza kufanywa na TEHAMA
10. Mwisho siyo kwa umuhimu; Rudisha Toto Afya Kadi
Hata kuandika hujui ndiyo utaweza kujua manufaa ya toto card wewe??Uliwahi kusikia mtu anakula vyakula kama baga,pizza vile vinavyoonekana vizuri machoni mwa watu ila ushuzi wake ni hatari,ndicho ulichokifanya ulipo malizia kwa ushauri wa kurudisha Toto afya kadi-kati ya program zilizochangia guo mfuko kufa ni hiyo program,ambitious projects wanazifanya pamoja na ufisadi wa matumizi wa hiyo huduma.
Namba 10 hapo kuhusu ToTo Kadi imesikika: Hongera WaziriNinaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:-
1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na 20% manually.
2. Timu ya wataalam wa TEHAMA wa humu nchini wakusanywe, wapewe exposure hasa South Korea na watengeneze system ya kudhibiti fraud.
3. Siasa iwe mbali na Mfuko; usiwe wa kuwafurahisha wanasiasa (Ministers);
4. Actuarial Dept iimarishwe na actuarial valuation ifanyike kila mwaka na kutoa mwongozo
5. Katika Social Health Insurance kuwa na package tofauti kama Wabunge, BOT, TRA, NMB n.k ni KOSA KUBWA. Makundi hayo yana mishahara mikubwa hivyo walitakiwa wachangie fedha nyingi zaidi na hivyo kuwepo kwa Social Solidarity. Mtu apate huduma bila kujali alichochangia.
6. Serikali itafute maoni ya wenye uzoefu wa SOCIAL Health Insurance na Actuaries watoe maoni yao ya kisayansi sio ya kumfurahisha mtu yeyote.
7. Board inatakiwa iwe na wataalam wa masuala haya na iwatumie kwa hali hii ilikofikia NHIF. SIYO kuishia kufanya ziara mikoani kuelezea , Vifurushi vya NHIF. Michango inatakiwa izidi malipo ya madai ya watoa huduma,
Soma Pia: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
8. Mfuko ujenge reserve kila mwaka; admin expenses za NHIF ziangaliwe upya;
9. Kazi zote zinazoweza kufanywa na TEHAMA zisitishwe
9. Ajira zinazoweza kufanywa na TEHAMA
10. Mwisho siyo kwa umuhimu; Rudisha Toto Afya Kadi
Wewe mburura Econometrician NJOO usome uchuro wako tena hapa. Toto Kadi imerudiUliwahi kusikia mtu anakula vyakula kama baga,pizza vile vinavyoonekana vizuri machoni mwa watu ila ushuzi wake ni hatari,ndicho ulichokifanya ulipo malizia kwa ushauri wa kurudisha Toto afya kadi-kati ya program zilizochangia guo mfuko kufa ni hiyo program,ambitious projects wanazifanya pamoja na ufisadi wa matumizi wa hiyo huduma.
Econometrician hawezi kutokea hapaWewe mburura Econometrician NJOO usome uchuro wako tena hapa. Toto Kadi imerudi