Jenista Mhagama afika Mji wa London, azungumza na Watanzania waishio Uingereza

Jenista Mhagama afika Mji wa London, azungumza na Watanzania waishio Uingereza

Afadhali amekwenda kuzungumza na watanzania Kiswahili manake ingekuwa aibu kwa nchi kama angekwenda kuzungumza na wazungu. Arejee mapema nyumbani.
Akiongea lazima aweke naniliuuu
Naniluiii!!!

Ova
 
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya afya nchini Tanzania.
View attachment 3173389
Miongoni mwa mambo waliyojadiliana katika kikao hicho ni pamoja na dhana ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa Wote, kuimarisha uendelezaji wa wataalam katika ngazi ya bingwa na ubingwa bobezi na kufungua fursa za wataalam wa afya kupata ajira nje ya nchi.

"Vilevile tumejadiliana kuhusu kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya ikiwa ni pamoja na vifaa tiba na dawa, kuimarisha huduma za mkoba nchini kwa kufanya kambi mbalimbali za huduma za kibingwa kwa kutumia madaktari kutoka Uingereza na maeneo mengine," amesema Waziri Mhagama.
View attachment 3173390
Aidha, Waziri Mhagama amesisitiza umuhimu wa wana Diaspora hao kuendelea kushiriki kikamilifu katika kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya nchini Tanzania.
View attachment 3173391View attachment 3173392View attachment 3173393

Kazi kweli, sijaelewa au, kwa hiyo Waziri wa Afya alisafiri hadi London, Uingereza kwa ajili tu ya kujadili mambo mbalimbali ya Sekta ya Afya na watanzania, yaani huko Uingereza kaenda kuongelea Sekta ya Afya, ya watanzania walioko huku Tanzania, mbona kuna tatizo kubwa sana, eeehh
 
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya afya nchini Tanzania.
View attachment 3173389
Miongoni mwa mambo waliyojadiliana katika kikao hicho ni pamoja na dhana ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa Wote, kuimarisha uendelezaji wa wataalam katika ngazi ya bingwa na ubingwa bobezi na kufungua fursa za wataalam wa afya kupata ajira nje ya nchi.

"Vilevile tumejadiliana kuhusu kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya ikiwa ni pamoja na vifaa tiba na dawa, kuimarisha huduma za mkoba nchini kwa kufanya kambi mbalimbali za huduma za kibingwa kwa kutumia madaktari kutoka Uingereza na maeneo mengine," amesema Waziri Mhagama.
View attachment 3173390
Aidha, Waziri Mhagama amesisitiza umuhimu wa wana Diaspora hao kuendelea kushiriki kikamilifu katika kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya nchini Tanzania.
View attachment 3173391View attachment 3173392View attachment 3173393

Nimekaa USA mda mrefu sana sana. Na jumuia yetu ya kula ugali Mbuzi weekend pale L.A….

90% ya hao watu hapo wako kwenye survival mode!

Huo mjadala hapo hauna impact yeyote!
 
Hahaha sasa hao wako London watakakikushaje tuna pata huduma bora sisi wadanganyika, nilisikia wameukana Uraia wao au hawa wao ni tofauti na diaspora tunaoambiwa wanatafutiwa haki maalumu?
Unajitekenya a.k.a kujizima data
 
Nimekaa USA mda mrefu sana sana. Na jumuia yetu ya kula ugali Mbuzi weekend pale L.A….

90% ya hao watu hapo wako kwenye survival mode!

Huo mjadala hapo hauna impact yeyote!
Wanapenda kujua kuhusu kwao, Tatizo huku tumejifunza kuendesha mambo yetu kwa kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kizalendo, tuseme uchawa
 
Huo ndo ungekuwa mjadala, sio mengineyo
Wanatumia unyumbu wa kisiasa

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data, ama uchawa

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and hypocrite, (fearing leaders with no respect)
 
Mbona hakuna wale wapika majungu wa chama.

CCM ni vurugu machi hadi ughaibuni, inaonekana Balozi Kairuki hana ushirikiano na makada.

Vinginevyo huo uwanja ungejaa.
 
Back
Top Bottom