Akiongea lazima aweke naniliuuuAfadhali amekwenda kuzungumza na watanzania Kiswahili manake ingekuwa aibu kwa nchi kama angekwenda kuzungumza na wazungu. Arejee mapema nyumbani.
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya afya nchini Tanzania.
View attachment 3173389
Miongoni mwa mambo waliyojadiliana katika kikao hicho ni pamoja na dhana ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa Wote, kuimarisha uendelezaji wa wataalam katika ngazi ya bingwa na ubingwa bobezi na kufungua fursa za wataalam wa afya kupata ajira nje ya nchi.
"Vilevile tumejadiliana kuhusu kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya ikiwa ni pamoja na vifaa tiba na dawa, kuimarisha huduma za mkoba nchini kwa kufanya kambi mbalimbali za huduma za kibingwa kwa kutumia madaktari kutoka Uingereza na maeneo mengine," amesema Waziri Mhagama.
View attachment 3173390
Aidha, Waziri Mhagama amesisitiza umuhimu wa wana Diaspora hao kuendelea kushiriki kikamilifu katika kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya nchini Tanzania.
View attachment 3173391View attachment 3173392View attachment 3173393

HESLB iwe ni msaada tu, kwani sisi tutakulaje pesa ya nchi kama wengine na familia zao?Yani wawapeleka nchi za ulaya kufanya kazi, sasa Tanzania wakitupeleka huko nani atalipa mikopo ya HESALB? Ukifika ulaya deni wanafuta?
Unajitekenya a.k.a kujizima dataHahaha sasa hao wako London watakakikushaje tuna pata huduma bora sisi wadanganyika, nilisikia wameukana Uraia wao au hawa wao ni tofauti na diaspora tunaoambiwa wanatafutiwa haki maalumu?
Wanapenda kujua kuhusu kwao, Tatizo huku tumejifunza kuendesha mambo yetu kwa kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kizalendo, tuseme uchawaNimekaa USA mda mrefu sana sana. Na jumuia yetu ya kula ugali Mbuzi weekend pale L.A….
90% ya hao watu hapo wako kwenye survival mode!
Huo mjadala hapo hauna impact yeyote!
Wanapenda kujua kuhusu kwao, Tatizo huku tumejifunza kuendesha mambo yetu kwa kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kizalendo, tuseme uchawa
Ikipendeza ifafanue hii kauli coz inaonekana ngumu kidogo!90% ya hao watu hapo wako kwenye survival mode!
Wanatumia unyumbu wa kisiasaHuo ndo ungekuwa mjadala, sio mengineyo