winning team in field 💪👊Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.
Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.
Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali ikiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.
Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Angeanza kutatua shida ya, matundu, ya, choo ambayo lazima tuombe msaada,sasa huyu jenesta, CV yake ni ndogo Sana, Hana hata Robo ya uwezo aliokuwa nao Getrude Mongela, au Asha migiro, au hata Tulia aksonNdugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.
Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.
Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali ikiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.
Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kusema huyo janaba hana sifa kupata Nafasi hiyo SI wivu,Wewe ndiye utashikwa na aibu kwa wivu na roho yako ya kishetani
Naomba namba ya huyo mwanamke wa kwanza kutokea kushoto. Amevaa koti jeusi na skafu. Hela ya soda utapata kijana.Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.
Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.
Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.
Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utashangaa Ma CHADEMA yanaendelea kuona wivu na kuomba Dua mbaya. Maana akili zao kwa sasa wanazijua wao wenyewe.winning team in field 💪👊
Wewe endelea na Makopo yako.Naomba namba ya huyo mwanamke wa kwanza kutokea kushoto. Amevaa koti jeusi na skafu. Hela ya soda utapata kijana.
dua zao za kuku haziwezi kumpata mwewe.Utashangaa Ma CHADEMA yanaendelea kuona wivu na kuomba Dua mbaya. Maana akili zao kwa sasa wanazijua wao wenyewe.
Wewe unaonekana hutaki niwe shemeji yako.Wewe endelea na Makopo yako.
Huo ndo uhakika. CV ya janabi ngumu sana kuiuza. Wale jamaa wa west africa wana cv nzuri na ndizo zinazotakiwa anga hizo. Kazi anayotaka Janabi ni ya kutafuta pesa na si siasa tu. WHO ina shida na inahitaji mtu wa kutafuta pesa kwa wafadhili na si technical person. Mara nyingi WHO Regional Directors ni wale watu wamesha shughulika na donors kama mawaziri au watu kutoka ndani ya WHO yenyewe. Akiipata ashukhuru Mungu na ajipange hasa."Janabi CV yake ndogo Sana " ataambuliwa aibu na akikosa huko WHO aingie katika siasa rasmi
Sio rahisi,mtanzania kuuzika. Mnachomfanyia Lissu Dunia inawatizama.Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.
Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.
Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.
Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Janabi is overratedNdugu zangu Watanzania,

Atakuwa anaongea lugha Gani?? Kindndeule??😅😅😅🤣🤣🙏Ndugu zangu Watanzania,

Ameanza kutumiwa na mabeberu?Ndugu zangu Watanzania,