Jenista Mhagama Atua Geneva Uswisi Kufanya Kampeni Nzito Za Kumnadi Profesa Janabi. Afanya vikao Vizito kwelikweli

Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.

Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.

Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.

Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.

Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jinga. Uswiswi ndiyo wapi? Hawezi kushinda. Hadi atubu. Wewe ni shetani kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Ila sema huyu mama ana roho ngumu, atatumia lugha ipi
 
"..vikao vizito kweli kweli.." labda kwa staili hii
images (21).jpeg
 
Kwa

Kwa kienglish kile kile au atatumia kiswahili?
 
Vikao gan vizito popoma wew!!
 
Sasa wanashindwa kukaa kufanya kazi za kututumikia wananchi kisa huo ukurugenzi huko who..hii nchi inachekesha sana.
 
"Janabi CV yake ndogo Sana " ataambuliwa aibu na akikosa huko WHO aingie katika siasa rasmi
Ukilinganisha na hiyo ya kwako ya kudanga? Pumbavu lisilo na punje ya uzalendo
Jenister na Janaba wote vyeti feki,

Nikwambie tu wakati wa kurudi Kila mtu atarudi kivyake kwa aibu.
We msukule km una vyeti original tuwekee humu. Wenzako wametoboa we uko km msukule hakuna anayekujua
 
Janabi atashinda kwa uwezo alionao ila sio kwa kelele za chawa.
 
Da Jenister Ameponga Ngeli Yake Ya Oxford University
 
Back
Top Bottom