Jenista Mhagama Atua Geneva Uswisi Kufanya Kampeni Nzito Za Kumnadi Profesa Janabi. Afanya vikao Vizito kwelikweli

Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.

Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.

Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.

Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.

Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa kiingereza gani?
 
Mmmmm kwa lugha gani ??
 
Kwakutumia lugha gani?
 
Lugha ya malkia.
Anza wewe tuone uwezo wako bila uchawa wala umbeaaa......huto ana damu za watu mikononi mwake....yupo hapo kwa kupoteza uhai wengine...laana tupu ....muda utamlipa hapa duniani au kizazi chake......weww acha upunga...fanya kaxi jasho lakoo...
 
Sasa si wangepeleka mtu ambaye ata na uwezo wa kutosha kuongea lugha za kigeni? Tanzania bwana kuna muda kama hatupo serious
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.

Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.

Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.

Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.

Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu hata kingereza hakiwezi, atawashawishi kwa kwa kingoni?
 
Hicho Kishindo kilichoitetemesha Geneva ni kipi mkuu, mbona tumefatilia hatujaona popote kua Geneva imetetemeshwa na Ujio wa Mhagama. Hebu tuoneshe na sisi tuone bas, inawezekana wewe una sources za kwako tu za kupata taarifa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.

Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.

Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.

Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.

Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Leo huna cha kumsifia mama kbs mkuu? Sio kawaida yako kbs mkuu
 
Back
Top Bottom