Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #121
Labda wewe ndiye hujui kiingerezaHuyu hata kingereza hakiwezi, atawashawishi kwa kwa kingoni?

Kwani nani kakwambia kuwa hawezi kuongea lugha za kigeniSasa si wangepeleka mtu ambaye ata na uwezo wa kutosha kuongea lugha za kigeni? Tanzania bwana kuna muda kama hatupo serious
Hatujawahi kushindwa uchaguzi katika anga la kimataifa. CCM inajua namna ya kupika na kuandaa viongoziHuo ni uchaguzi, bro. Sio kama yale maigizo yenu ya CCM yenye predetermined outcome!
Ila we jamaa mada zako watu wanaozisoma ni watu dizain yako tu. Binafsi huwa naambulia kucheka tu. Japo nahisi kuna siku utaandika jambo la maana na litanipita kwa sababu tu nakudharau.Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.
Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.
Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.
Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Aibu utapata wewe na roho yako mbaya.Nchi inaenda pata aibu.
Àtaongea lugha gani huko?!
Atapita kwa kishindoJanabi hatoboi
Kucheka nako ni dawa. Maana unakuwa unatanua mapafu yako na kunyoosha mwili wako. Kwa hiyo nishukuru kwa kukuongezea furaha maishani mwakoIla we jamaa mada zako watu wanaozisoma ni watu dizain yako tu. Binafsi huwa naambulia kucheka tu. Japo nahisi kuna siku utaandika jambo la maana na litanipita kwa sababu tu nakudharau.
Huyu huyu wa lugha gonganaNdugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.
Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.
Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.
Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwa kutumia lugha gani?? Maana kiingereza kwa huyu dada yetu kiko mbali sana na ulimi wakeNdugu zangu Watanzania,

..ndogo kwa pages au contents za CV hazina ushindani?"Janabi CV yake ndogo Sana " ataambuliwa aibu na akikosa huko WHO aingie katika siasa rasmi
Kiko mbali kwako. Acheni utumwa wa kimawazo.Mwa kutumia lugha gani?? Maana kiingereza kwa huyu dada yetu kiko mbali sana na ulimi wake
Kuna uwezekano akakosa kwa sababu ya kinachoendelea nchini.Tayari Dunia imeshaanza kuamini Tanzania kuna nakisi ya utawala bora na utawala wa kisheria.Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.
Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.
Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.
Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakuna kitu kama hicho . Acheni kusikiliza makelele ya wapiga porojo. Heshima ya Tanzania inaendelea kuongezaka kila uchao.Kuna uwezekano akakosa kwa sababu ya kinachoendelea nchini.Tayari Dunia imeshaanza kuamini Tanzania kuna nakisi ya utawala bora na utawala wa kisheria.
WHO hawana hizo, hawa persecute individual kwa sababu ya government politics.Kuna uwezekano akakosa kwa sababu ya kinachoendelea nchini.Tayari Dunia imeshaanza kuamini Tanzania kuna nakisi ya utawala bora na utawala wa kisheria.
Huko hakuna INEC wala PoliccmAtapita kwa kishindo
MuonE Ras simbawinning team in field 💪👊
CCM WANAJUA KUFUJA MALI ZA UMMA NI KM MCHWA HAWASHIBINdugu zangu Watanzania,