Jenista Mhagama Atua Geneva Uswisi Kufanya Kampeni Nzito Za Kumnadi Profesa Janabi. Afanya vikao Vizito kwelikweli

Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.

Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.

Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.

Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.

Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Janabi uwezekano wa kupita ni mdogo sana ,kama simba penya kwenye tundu la sindano, may be utokee muhujiza maana ya dunia mengi
 
Presentation yake itakuwa kwa lugha ipi?
 
Masuala ya kukosa demokrasia Tz yatamchafulia Janabi
 
Mimi kwangu mzee profesa Janabi akishindwa uchaguzi huu nitafurahi. Sababu kubwa ya mimi kufurahi ni ccm na serekali kuingilia.
 
Janabi uwezekano wa kupita ni mdogo sana ,kama simba penya kwenye tundu la sindano, may be utokee muhujiza maana ya dunia mengi
Janabi hashindi,kwanza hana uzoefu wa public health. Leo nimemuangalia kipindi anajieleza baadae kupigwa maswali .Mweupe mno kwenye afya ya jamii .
 
Kwa hiyo unafikiri yeye hana uwezo wa kuongea?
KWa jinsi nilivyomuona waziri wetu naona lugha ya kingereza inamsumbua kidogo. Hayupo confortable na kingereza ambayo siyo dhambi lakini kwa muktadha wa kikao husika inaweza kumpa shida kidogo unless kama yeye hatokuwa mzungumzaji
 
Lugha anaiweza vizuri kabisa.
 
Back
Top Bottom