Jenista Mhagama Atua Geneva Uswisi Kufanya Kampeni Nzito Za Kumnadi Profesa Janabi. Afanya vikao Vizito kwelikweli

Janabi anaumia sana moyoni ni basi tu hawezi kusema, ni heri ukae Muhimbili ufunze watz wajinga upate sifa kuliko kubhangaishana na wazungu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.

Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.

Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.

Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.

Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jecha angekua hai angewapambania
 
Lucas Mwashambwa lugha gani itatumika kwenye hiyo kampeni motomoto itakayoendeshwa na Mhagama huko Geneva?! Kama siyo Kiswahili tushapigwa chini tayari😅😅😅
 
Sasa atafanya kampeni kwa lugha gani ndio kwa ile english yake watamuelewa au ndio tutaonekana kama nchi hatupo serious
 
Lucas Mwashambwa lugha gani itatumika kwenye hiyo kampeni motomoto itakayoendeshwa na Mhagama huko Geneva?! Kama siyo Kiswahili tushapigwa chini tayari😅😅😅
Itatumika lugha ya malkia. Na ndio inayoendelea kutumika huko mpaka wazungu wenyewe wamebakia wanauliza kama Mheshimiwa ni mtoto wa Mwalimu Nyerere aliyekulia ulaya
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha Umwamba wake katika Diplomasia ya kimataifa.Tanzania inaendelea kuonyesha misuli yake.

Sasa katika Kuelekea uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika. Waziri wetu wa Afya Nchini Mheshimiwa Jenista Mhagama Ametua kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Geneva na kuwaacha watu na hekaheka.

Ambapo Ametua katika kufanya kampeni za Mwisho na Kumaliza shughuli ya kuhakikisha kuwa Tanzania inashinda na Profesa Mohammedi Janabi anaibuka kidedea. Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea mioyoni mwa wapiga kura. Ambapo Tanzania na professa Mohammedi Janabi tunaendelea Kupata ushirikiano wa kutosha na kuhakikishiwa ushindi wa kishindoo na Heshima kwa Taifa letu.

Mheshimiwa Jenista Mhagama amefanya vikao Vizito na viongozi mbalimbali Akiwepo waziri Wa Afya wa Mauritania.

Mpaka sasa Moshi Mweupe unaendelea kufuka juu ya bendera ya Tanzania kuashiria ushindi kwa Taifa letu la Tanzania. Tumeshafanikiwa kama Taifa kulishawishi Bara la Afrika kushika nafasi hiyo. Na tayari tumepata imani na kupewa baraka zote kwa mgombea wetu pamoja na Taifa letu.View attachment 3336987

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zilaaniwe Shahawa chafu za baba yako zilizokuzaa ***** Lucas Mwashambwa
 
Jenista huyu huyu mwalimu wa Songea girls asiejua kiingereza au mwingine?
 
Itatumika lugha ya malkia. Na ndio inayoendelea kutumika huko mpaka wazungu wenyewe wamebakia wanauliza kama Mheshimiwa ni mtoto wa Mwalimu Nyerere aliyekulia ulaya
😅😅😅😅😅 Kwamba wazungu wamebubujikwa na machozi ya furaha kwa Mhagama kutema ngeli huko Ulaya? Akimudu kuunganisha sentensi mbili meaningful uje udai buku 7 kwangu.
 
Kaa kwa kutulia utaona namna atakavyotoa hotuba nzito baada ya ushindi wa profesa Mohammedi Janabi
 
Back
Top Bottom