Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kujifunza namna bora ya kuimarisha mifumo ya utoaji wa huduma za afya kuelekea utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
Screenshot 2024-12-15 at 12-57-24 Instagram.png

Waziri Mhagama amekutana na NHS Desemba 13, 2024 nchini Uingereza ambapo pamoja na mambo mengine wameweza kujifunza namna bora ya kusimamia ubora wa huduma za afya ambapo wameonesha namna Taasisi hiyo inavyosimamia ubora wa huduma kwa wananchi wake.
Screenshot 2024-12-15 at 12-57-32 Instagram.png

Aidha, kupitia mkutano huo Serikali ya Tanzania imepata fursa ya kuanzisha ushirikiano utakaowezesha wataalam wa afya kuja kujifunza namna bora ya kuimarisha usalama wa huduma za afya, ubora na usimamizi wa huduma za afya pamoja na kujifunza utaratibu wa kusimamia mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote ambao unategemea kuanza utekelezaji wake.
Screenshot 2024-12-15 at 12-58-14 Instagram.png
Screenshot 2024-12-15 at 12-58-09 Instagram.png
Screenshot 2024-12-15 at 12-57-51 Instagram.png
 

Attachments

  • Screenshot 2024-12-15 at 12-57-46 Instagram.png
    Screenshot 2024-12-15 at 12-57-46 Instagram.png
    451.7 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-15 at 12-58-04 Instagram.png
    Screenshot 2024-12-15 at 12-58-04 Instagram.png
    439.2 KB · Views: 5
  • Screenshot 2024-12-15 at 12-58-00 Instagram.png
    Screenshot 2024-12-15 at 12-58-00 Instagram.png
    394.7 KB · Views: 6
  • Screenshot 2024-12-15 at 12-57-55 Instagram.png
    Screenshot 2024-12-15 at 12-57-55 Instagram.png
    441.2 KB · Views: 4
  • Screenshot 2024-12-15 at 12-57-41 Instagram.png
    Screenshot 2024-12-15 at 12-57-41 Instagram.png
    350.6 KB · Views: 2
  • Screenshot 2024-12-15 at 12-57-37 Instagram.png
    Screenshot 2024-12-15 at 12-57-37 Instagram.png
    501.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom