Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,901
- 1,511
Wambie wanunue kitimoto wapeleke hapo shuleni, mapepo na kitimoto ni maadui wakubwaHii hali sasa imekuwa too much.
Serikali ingilieni kati toka mwezi wa pili mwaka huu wanafunzi wa shule ya sekondari JENISTER MHAGAMA wa kidato cha kwanza na kidato cha tatu wamekuwa wakianguka mapepo...
Leo watoto zaidi ya 100 wameanguka na hali zao ni mbaya wengine hawaoni wala kuongea... serikali ya mkoa wa RUVUMA tunaomba muingilie kati watoto wetu wanateseka jamani
MmmhhHata wavulana
Hata wavulana wanaangykuaHaya mambo hayakuwepo huko zamani. Nowadays the girls think about sex all the time!
Yalikuwepo mkuu. Mi shule nilizosoma mambo kama hayo yaliwahi tokea plus kucheka cheka and/ or kutetemeka hadi mtu anadondoka.Haya mambo hayakuwepo huko zamani. Nowadays the girls think about sex all the time!
Tangu lini na wavulana nao wameanza kuanguka mapepo! Siku zote nimewashudia watoto wa jinsia ya kike pekeeHata wavulana
Serikali na kutoa mapepo wapi na wapi?Leo watoto zaidi ya 100 wameanguka na hali zao ni mbaya wengine hawaoni wala kuongea... serikali ya mkoa wa RUVUMA tunaomba muingilie kati watoto wetu wanateseka jamani
Sababu ni nnYalikuwepo mkuu. Mi shule nilizosoma mambo kama hayo yaliwahi tokea plus kucheka cheka and/ or kutetemeka hadi mtu anadondoka.
Kiukweli hakukuwa hata na sababu valid zaidi ya madai kuwa ni mapepo na ushirikina, wanafunzi wanachezewa. Maana hata waliopelekwa hospitali hawakuonekana na ugonjwa.Sababu ni nn
hiyo ndiyo inasababisha kuanguka mkuu?Haya mambo hayakuwepo huko zamani. Nowadays the girls think about sex all the time!