Jenister Mhagama popote pale ulipo pokea hili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe Mizimu ya Kwenu kwa Watani zangu Washamba wa Mkoa wa Ruvuma au ubebwe vipi na Namba Tatu Kitaifa bado tu hiyo Docket itakushinda kwani hauna kabisa DNA nayo.

Jenister Mhagama ni kwamba hapo ulipotupwa sasa Health Docket ni Kengelele tu awali ya kukutaka sasa uanze Kuaga na Kukusanya kila kilicho chako hasa ndani ya Serikali ya aliyonayo sasa na kila nikiangalia kwa Darubini yangu ni kwamba ama mwishoni mwa Mwaka huu au Mwakani utaondolewa kabisa na kama ni kurejeshwa tena basi itakuwa ni baada ya 2030.

Namba Tatu haivi kabisa na Namba Moja ila aliombwa tu amuache hapo amalizane nae na Wewe kutwa tu uko na Namba Tatu katika Kumpiga Majungu na Taarifa zako nyingi tu zinamfikia.

Tunza huu Uzi utaondolewa hapo mazima kama Gwiji Mwenzako Mmoja aliyejiamini, aliyejisahau akidhani Ndumba za Kwao na Uchawa wake ungembeba.

Imeisha hiyo.....!!
 
Nchi Ina ma proffesor anakuja kupewa kiti Mgambo wa jiji.
 
Nchi hii wanacheza sana na afya za watu...
Yaani huyu mhagama wanaenda
Kumuweka afya aise,
Hii ni dharau sana kwa sekta ya afya

Ova
Kumpa hiyo Wizara ni Dharau Kubwa sana kwa Afya za Watanzania na inaonyesha hata aliyefanya huo Uamuzi hajui anachokifanya na kaamua Kubeti na Afya za Watanzania pamoja na Ndugu zake.
 
Jenista ni worst kabisa kuliko ummy mwalimu, huwa hayuko tayari kwa mawazo mbadala principle yake ni 'she is always right'. Sema huko CCM wenye akili/uwezo ni wakutafuta kwa tochi plus afya za walala hoi sio kipaumbele sana. Yote kheri
 
"Uwaziri hausomewi." ...JK
 
Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe Mizimu ya Kwenu kwa Watani zangu Washamba wa Mkoa wa Ruvuma au ubebwe vipi na Namba Tatu Kitaifa bado tu hiyo Docket itakushinda kwani hauna kabisa DNA nayo.

Jenister Mhagama ni kwamba hapo ulipotupwa sasa Health Docket ni Kengelele tu awali ya kukutaka sasa uanze Kuaga na Kukusanya kila kilicho chako hasa ndani ya Serikali ya aliyonayo sasa na kila nikiangalia kwa Darubini yangu ni kwamba ama mwishoni mwa Mwaka huu au Mwakani utaondolewa kabisa na kama ni kurejeshwa tena basi itakuwa ni baada ya 2030.

Namba Tatu haivi kabisa na Namba Moja ila aliombwa tu amuache hapo amalizane nae na Wewe kutwa tu uko na Namba Tatu katika Kumpiga Majungu na Taarifa zako nyingi tu zinamfikia.

Tunza huu Uzi utaondolewa hapo mazima kama Gwiji Mwenzako Mmoja aliyejiamini, aliyejisahau akidhani Ndumba za Kwao na Uchawa wake ungembeba.

Imeisha hiyo.....
Duh kali tunatunza kweli
 
Huyo mama nashangaa sijui ana nini kila mkeka yumo sijui ni uchawi yaani kimsingi katika mawaziri ambao sijawahi kuona wala kujua wanachoanya ni huyo kwakweli watanzania wooote milioni 60 na ushei anakosekana mtu mpaka wanaendelea na hivi vibibi visivyo na mwelekeo wowote. BONGO bahatimbaya.
 
Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe Mizimu ya Kwenu kwa Watani zangu Washamba wa Mkoa wa Ruvuma au ubebwe vipi na Namba Tatu Kitaifa bado tu hiyo Docket itakushinda kwani hauna kabisa DNA nayo.

Jenister Mhagama ni kwamba hapo ulipotupwa sasa Health Docket ni Kengelele tu awali ya kukutaka sasa uanze Kuaga na Kukusanya kila kilicho chako hasa ndani ya Serikali ya aliyonayo sasa na kila nikiangalia kwa Darubini yangu ni kwamba ama mwishoni mwa Mwaka huu au Mwakani utaondolewa kabisa na kama ni kurejeshwa tena basi itakuwa ni baada ya 2030.

Namba Tatu haivi kabisa na Namba Moja ila aliombwa tu amuache hapo amalizane nae na Wewe kutwa tu uko na Namba Tatu katika Kumpiga Majungu na Taarifa zako nyingi tu zinamfikia.

Tunza huu Uzi utaondolewa hapo mazima kama Gwiji Mwenzako Mmoja aliyejiamini, aliyejisahau akidhani Ndumba za Kwao na Uchawa wake ungembeba.

Imeisha hiyo.....!!

Rais Samia amekosa washauri au huenda hashauriki, katika wizara ya afya ilitakiwa Ummy mwalimu aendelee kutulia hapo pamoja na mapungufu yaliyoonekana au vinginevyo kwamba tuseme Rais ameshindwa kumvumilia basi mbadala wa Ummy alipaswa kuwa mama yetu Daktari kabisa Mh Dkt. Gwajima D ambaye hatuna mashaka kabisa na utendaji wake hata hapo kabla aliisimamia vyema wizara husika.

Yoteyote tuwatakie kheri wale walioaminiwa kufanya kazi katika nafasi hizo japo mashaka yetu makubwa yapo katika wizara ya Afya. Hatujui hali itakuwaje. Mungu asaidie
 
Dr. Godwin Mollel kawa naibu waziri wa afya kwa zaidi ya miaka 6 sasa.
Kwani kua promoted kua Waziri kamili wa afya haiwezekani!!. Maana ana uzoefu wa kutosha na hiyo wizara.

Au kuna mambo mengine nyuma ya pazia?
 
Back
Top Bottom