ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ushauri wangu kwa sisiemu. Acheni kufanya rotation huyu kachomolewa hapa kapelekwa pale........Tafuteni watu mahiri kwenye wizara husika wapooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wangempa huyu Mwamba? Sijui nowdays Yuko wapi. Aliwahi kuwa Katibu mkuu wa hiyo wizara na mambo yalikuwa yanaenda vzr sanaUshauri wangu kwa sisiemu. Acheni kufanya rotation huyu kachomolewa hapa kapelekwa pale........Tafuteni watu mahiri kwenye wizara husika wapooo
AiseJenista ni worst kabisa kuliko ummy mwalimu, huwa hayuko tayari kwa mawazo mbadala principle yake ni 'she is always right'. Sema huko CCM wenye akili/uwezo ni wakutafuta kwa tochi plus afya za walala hoi sio kipaumbele sana. Yote kheri
Ukiona unashauriwa na Vilaza basi jua kwa 100% na Wao wameshakujua kuwa nawe pia ni Kilaza Tukuka mwenzao.Ni Bora angebaki ummy kuliko huyu mhagama...
Washauri wa SAMIA ni vilaza sanaa
Unauliza Ubingwa Yanga SC?kwahio mnataka hio wizara wapewe madocta au?
Ila huyu maza ni noma. Awamu zote yeye ni waziri. Atakuwa kawekeza kwenye kampuni nyingi za townNchi hii wanacheza sana na afya za watu...
Yaani huyu mhagama wanaenda
Kumuweka afya aise,
Hii ni dharau sana kwa sekta ya afya
Ova
Ila wabunge wakizoa zile 300m hawafi..Huyu si aliwahi kusema kuwa wastaafu wakipewa mafao yote watakufa,bora wapewe kidogokidogo
Kama ni hivyo basi sie wenyewe wananchi ndio tatizo.Tanzania utadhani ina watu hao hao tua ambao kila kukicha kero za Wananchi wanashindwa kuzitatua sema huyo kawekwa kimkakati mambo ya kura za huko Nyasa Land bila kuangalia vigezo yaani fundi mchundo awe Waziri wa Afya utani huu..
Au tufanye kama Kenya.Waziri unapigwa Interview,ukionekana uwezo mdogo hutoimudu wizara husika bye bye.Ushauri wangu kwa sisiemu. Acheni kufanya rotation huyu kachomolewa hapa kapelekwa pale........Tafuteni watu mahiri kwenye wizara husika wapooo
😄 huyu mama ngoma ngumuIla huyu maza ni noma. Awamu zote yeye ni waziri. Atakuwa kawekeza kwenye kampuni nyingi za town
Ni Kingunge Ngombale Mwiru wa kike 😄😄😄 huyu mama ngoma ngumu
Awamu zote yupo
Ova
Hili ni kweli kabisa ...Jenister Mhagama ni kwamba hapo ulipotupwa sasa Health Docket ni Kengelele tu awali ya kukutaka sasa uanze Kuaga na Kukusanya kila kilicho chako
Inashangaza sana Mkuu..Nchi hii wanacheza sana na afya za watu...
Yaani huyu mhagama wanaenda
Kumuweka afya aise,
Hii ni dharau sana kwa sekta ya afya
Ova