mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Ni matusi ya nguoni.Nchi hii wanacheza sana na afya za watu...
Yaani huyu mhagama wanaenda
Kumuweka afya aise,
Hii ni dharau sana kwa sekta ya afya
Ova
Ni yeye. Alileta kikokotoo ambacho kimewadidimiza wastaafu, hakika mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Huyu si aliwahi kusema kuwa wastaafu wakipewa mafao yote watakufa,bora wapewe kidogokidogo
Mapendekezo ya Waganga wa Kienyeji Kinyota.Na kwann damu mpya haziingii tuone utofauti ni hao hao Kila siku jamani tugawieni riziki Mafarao .