Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilikuwa Kwenye miundo mbinu kama barabara, eli nk
Ni waziri ambaye hakuishiwa sababu Kila lilipokuja swala la masrahi ya watumishi mfano uhakiki na mengine mengi.Sijui nini kimempata waziri huyu akiwa Kwenye awamu ya sita?
Au wanasiasa wetu wanafuata Rais wa wakati huo anataka nini? Hawawezi kusimamia sheria na taratibu. Kiukweli mhe, Rais Samiah Suruhu Hassan amejua kuwaumbua na kuwanyosha.#2025 kazi iendelee# hakuna cha hapa kazi tu.
Msikilize wewe mwenyewe hapo chini alivyonyoshwa.