Jeremiah Kasambala na Lucy Lameck wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara?

Jeremiah Kasambala na Lucy Lameck wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara?

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Salaam WanaJF,

Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja.

Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara pamoja na ya ushirika miongoni mwa jamii?

Shukrani,

Companero
 
Back
Top Bottom