Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe.
Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za Sunderland,toronto,rangers na Bournemouth.
Huyu bwana ameushangaza ulimwengu kwa ujumla baada ya kuthibitika kuwa amefanya utapeli wa ndoa feki kwa bibie Dona Defoe.
Tarehe 4/6/2022 ilikuwa siku ya furaha kwa Jermain defoe na bibie dona, ambao walifanikiwa kufunga pingu za maisha nyumbani kwao Cleveden katika mji wa Bournemouth.
Lakini Kama unavyojua tabia za wadada wa kizungu, ambao huwa wanajifanya wana mapenzi na watu weusi. Kisha huingia nao katika mahusiano ya ndoa na baadaye kuwafilisi kwa kigezo Cha kugawana mali mfano ebou,Kanye west.
Sasa ni Kama mbinu hio imegonga mwamba kwa Germain defoe, ambapo baada ya kufunga ndoa na bi dona na kisha kuachana.
Imethibitishwa hakuna ushahidi hata mmoja unaothibitisha ya kwamba Jermain defoe alifunga ndoa na bi dada wa kizungu dona.
Bi dada huyo pichani baada ya kuoana na defoe, alianza vitimbi mbalimbali na baadae kutaka talaka, akijua atapata mgao wa mali za bwana defoe.
Nadhani aliingia tamaa baada ya kuona defoe ametumia zaidi ya milioni 400 katika sherehe yao ya kharusi, bila ya kujua kuwa huo ulikuwa mtego tu na yeye ndo ameishia kutumika.
Unaambiwa jamaa Ni Kama alifanya party tu , kwani licha ya bi dona kwenda mahamani hajaambulia chochote na Sasa ameanza upya Safari yake ya udangaji.
Hakukuwa na utiaji saini katika mkataba wa ndoa.
Hii iwe funzo kwa wadada wote wenye tamaa ya kujipatia mali kupitia mahusiano.