Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Hiyo ni hela ya wiki mbili tu kwa wachezaji wa UlayaMilioni 400 paundi au shilingi za kitanzania?
Bado ni hela nyingi kwa ajili ya mbususu. Maana huyo naye hakutaka mke au ndoa ndo maana hakusaini popote.
Kwani kwa wanaume wa kiAfrika huko Uingereza hakunaga mademu wa kizungu wa unamtongoza na kula mzigo tu? Ni mpaka uoe? Yaani utumie milioni 400 kwa ajili ya mbususu tu? Milioni 400 wekeza kwa mama wa watoto wako, sio kwa demu wa mbususu tu.