Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Kupitia CCM.Mimi ni yanga damu ila huyu jamaa anatafutaga sifa ya kugombea udiwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia CCM.Mimi ni yanga damu ila huyu jamaa anatafutaga sifa ya kugombea udiwani
Akirudia ndio apigwe maisha.!Ilitakiwa apigwe maisha huyo.
Angalia profile yake!!
!
ID hii nina wasiwasi nayo hii. Huenda ni ya bwana JM
Mimi naona sahihi tu. Tafuteni msemaji mwenye taaluma.Ki ukweli hata uwe una mchukia vipi Muro TFF hawa kuwa na sababu yoyote ya msingi ya kumfungia
Simba pia wafanye hivyoMimi naona sahihi tu. Tafuteni msemaji mwenye taaluma.
Jerry alikiwa sahihi pia ukumbuke alikuwa ana isemea Yanga so ujue hata viongozi wengine walikubalianaKuhamasisha vurugu ni kosa kubwa, mzaha mzaha unaweza kupelekea vifo vya mashabiki. Yatupasa wote tukemee hali hii. Michezo ni furaha, lkn ni eneo very delicate sana. Watu kuumizana ni kitu kidogo kabisa kma viongozi watachochea vurugu hata kwa ku-imply.
Taaluma ipi tena!!?Mimi naona sahihi tu. Tafuteni msemaji mwenye taaluma.
u matopeni ndo unawafanya mfurahiAkirudia ndio apigwe maisha.!