Jerry Muro afungiwa kujihusisha na soka kwa Mwaka mmoja!!

Najua mna jua, lakini ndiyo hivyo. Hata kama ndo msemaji wa Timu, 'jifunze kuasikiliza'.

Kweli kuna baraka katika kusikiliza kuliko usemaji ulio kithiri. Haya mwaka mzima sasa KANDO.
 
Jamaa ana Bahati mbaya pole sana bwana Jerry
 
Jerry alikiwa sahihi pia ukumbuke alikuwa ana isemea Yanga so ujue hata viongozi wengine walikubaliana
Mpira wowote mwenyeji hapangiwi pa kukaa, wala halikuwa kosa kisheria
 
Ohoooo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Kumuhadhibu ndio kufanya nini ndg yangu?
Hapo umeniacha kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…