Jerry Muro amtusi tena Haji Manara

ndio Tasnia ya habari inapoelekea,viongozi na mashabiki wa hiyo timu na wao wako kimya tu
 
Tafuta insert ya E FM ya leo ya saa 4 na dakika 51 hadi 54 utakisikia hiki nilichokiweka hapa. Sikumbuki ni lini nimekurupuka humu na TAARIFA ya UWONGO.
mimi sija-question ukweli/uongo wa taarifa yako.

nilichokisema ni... kutokana na sentiments zilizopo kwenye kauli yako, wewe ni mnazi (siyo mpenzi tu) mkubwa wa Simba!
 
Yanga ni taasisi kubwa sana....mtu kama jery muro hawezi kuiongoza, yanga walikua na msemaji mzuri sana anaitwa baraka kizuguto kwa sasa ameajuriwa tff....jama akikuwa anaongea vitu vya mpira tu sio huyu jery toka alipo fi.....wa naona hajakaa sawa.
 
Naomba radhi sana nimeweka hapo Saa 4 na dakika 51 hadi na dakika 54 asubuhi kimakosa badala ya Saa 3 na dakika 51 hadi dakika 54. Ni typing error tu ILA content yenyewe ni SAHIHI.
 
Inawezekana Mungu alitaka watu tumjue vizuri Jeery Muro
kwa kupitia Yanga....

nna uhakika wale wote waliosema polisi walimsingizia kesi ya rushwa
now wanajiuliza tena.......
Huyo jamaa ni shida, ila muda wake yanga utakuwa mfupi kwa kauli hizo...
 
Jerry muro kabaka fani,ataporomosha ladha za mpira nchini na hizo nyimbo zake za taarabu, hivi mtu ukisoma sana ndo unakuwa mjinga mjinga, simpendi huyu jamaa kwa vijembe vyake *****
 
Jerry Muro ana laana ya kutoka kwao. Alikuwa afungwe kwa bahati MUNGU akamfutia kesi bado kajisahau anajichanganya na vitu visivyomsaidia. Mwisho wake atauona na kuujutia.
 
Jerry muro kabaka fani,ataporomosha ladha za mpira nchini na hizo nyimbo zake za taarabu, hivi mtu ukisoma sana ndo unakuwa mjinga mjinga, simpendi huyu jamaa kwa vijembe vyake *****

Mkuu kuwa na Masters Degree tena ya Public Administration ndiyo kusoma sana au kuonekana msomi? Kuna watu sasa wanamalizia Masters zao za 5 za fani mbalimbali huku wengine sasa wakimalizia PhD zao za 3 lakini wapo very simple na wanajiheshimu sana. Halafu nadhani Watanzania hatujua maana au dhana halisi ya neno " kuwa msomi au kuelimika " Kuitwa msomi kunachagizwa na vitu vingi au mambo mengi mno Mkuu.
 
Hoo mbona kila hatakachosema muro nikibaya kwenu nyie mikia!!!! Huyo Hiji kutwa kuisema yanga hamumkosoi na mnajua kabisa yanga inacheza mashindano ya kimataifa ndiyo mahana mechi zake zikasogezwa Mbele ila manara kila kukicha yanga hooooooo wanabebwa mpaka kaenda kwa waziri na yeye bila kufikiria Yanga na Azamu alikuwa kwenye michezo yakimataifa analeta siasa mpira ni wa FIFA siyo hivyo !!!!! Jerry tupo pamoja watakutajia jina lako la utotoni hiyo ndiyo kazi yako Yanga tuliyokuhajiri Yanga Mbele.........
 
Jerry Muro ana laana ya kutoka kwao. Alikuwa afungwe kwa bahati MUNGU akamfutia kesi bado kajisahau anajichanganya na vitu visivyomsaidia. Mwisho wake atauona na kuujutia.

Ila hata hivyo kwa fununu nilizonazo ni kwamba siyo kwamba Kesi yake iliisha bali aliyeshikilia jalada lake amejisahaulisha kwa muda na Kesi bado ipo wazi tu na nasikia watu wanataka kuifufua.
 
Wewe Popoma hakuna asiekujua kuwa wewe ni mnazi wa Mbumbumbu fc a.k.a wa Matopeni. Au unadhani kubadili ID ndio utatuzuga?
 
Acha ushabiki hapa!! Simba wanataka Ubingwa wa Mezani, kitu ambacho hakipo!!

Hakuna anae kurupuka kutukana kama ww hujamtukana.
 
Jerry Muro ni janga la kitaifa kwa taifa, tasnia ya habari na sekta ya michezo nchini; ni fedheha kwa klabu kubwa kama Yanga kuwa na afisa mwandamizi na uso wa klabu ka jerry muro! Jerry Muro is a disgrace to the beautiful game. Simba na Hadji Manara watafute ushauri wa kisheria kuhusu kashfa za aina hiyo. Watoto wanajifunza nini kutoka kwa Jerry Muro?!
 
Wewe Popoma hakuna asiekujua kuwa wewe ni mnazi wa Mbumbumbu fc a.k.a wa Matopeni. Au unadhani kubadili ID ndio utatuzuga?

Mkuu popoma ndiyo nini tena? Huu ni msamiati mpya sana Kwangu. Nitashukuru ukunielewesha!
 

Nimesikitika kuna members humu kabisa wanamuunga mkono Jerry Muro na wamebariki hayo matusi yake. Naona dhana nzima ya Great Thinkers humu inaanza taratibu kupotea kama siyo kupoteza maana.
 
Reactions: MTK

JERRY MURO NI MTOVU WA ADABU NA MKOSEFU WA MAADILI! KWA NAFASI YAKE HAKUTAKIWA KUSEMA MANENO HAYO!!!
 
nimepigia mistari maneno kama unataka kukunwa ........jana katoka kwa Waziri Nape kwa hiyo Jerry anamaanisha Nape amkune Haji?

hapo nakubaliana na wewe kwamba baada ya waziri mkuu ni Jerry Muro
 
Mbona akutaja jina la Manara. Kajisemea kwa yoyote anayefuatilia mambo ya Tanga na Azam. Akutaja jina LA mtu
 
Mimi kama mpenzi wa Yanga siungi hoja mkono, ni baada ya kugundua kuwa Jerry Muro amekuwa msemaji anayewakosesha raha. Asa mashabiki wa simba na kauli zake za kizalendo kwa klabu anayo ifanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…