Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi sija-question ukweli/uongo wa taarifa yako.Tafuta insert ya E FM ya leo ya saa 4 na dakika 51 hadi 54 utakisikia hiki nilichokiweka hapa. Sikumbuki ni lini nimekurupuka humu na TAARIFA ya UWONGO.
Huyo jamaa ni shida, ila muda wake yanga utakuwa mfupi kwa kauli hizo...Inawezekana Mungu alitaka watu tumjue vizuri Jeery Muro
kwa kupitia Yanga....
nna uhakika wale wote waliosema polisi walimsingizia kesi ya rushwa
now wanajiuliza tena.......
Jerry muro kabaka fani,ataporomosha ladha za mpira nchini na hizo nyimbo zake za taarabu, hivi mtu ukisoma sana ndo unakuwa mjinga mjinga, simpendi huyu jamaa kwa vijembe vyake *****Katika hali inayoonyesha kuwa kama hali hii haitadhibitiwa haraka na upesi na Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Serikali na Wadau kuna siku tutashuhudia dhahama kubwa nchini Tanzania katika Sekta ya Michezo itakayosababishwa hasa na Msemaji wa Klabu ya Yanga Jerry Muro ambae anaonekana hapa Tanzania yeye ni mtu wa nne kwa umuhimu baada ya Rais, Makamu na Waziri Mkuu.
Huyu msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akija na kauli chafu, mbaya na za dharau dhidi ya mwenzake wa Klabu ya Simba Haji Manara.
Mimi siyo mdau wa mpira wala mfuatiliaji wa mpira na sina hata Klabu ninayoishabikia hapa Tanzania zaidi tu ya Timu Za Taifa ile ya Taifa Stars na Twiga Stars ila nimeguswa kama mtu ninayependa jamii yenye MAADILI.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida akizungumza muda mfupi tu na Kituo cha Redio ambacho kwa 90% kina MAHABA ya wazi na Klabu ya Yanga na kupenda kuwa na CHUKI ya wazi na Klabu ya Simba cha E FM leo Jerry Muro kasema nanukuu " Mtu mzima na akili zako tena Mtoto wa Kiume unaacha kufanya mambo yako kutwa UNAWASHWA WASHWA na kuzunguka huku na kule kuzizungumzia Yanga na Azam kama siyo anataka KUKUNWA huyu anataka nini? " mwisho wa kumnukuu Jerry Muro.
Kama wewe unajijua ni Mdau wa Michezo na Mwana Michezo tafadhali toa maoni yako hapa ya nini kifanyike ili hali hii IKOME au IISHE kabisa kwa maslahi mazima ya mchezo wetu pendwa wa Soka au Kandanda.
Karibuni sana tujadili.
Jerry Muro ana laana ya kutoka kwao. Alikuwa afungwe kwa bahati MUNGU akamfutia kesi bado kajisahau anajichanganya na vitu visivyomsaidia. Mwisho wake atauona na kuujutia.Katika hali inayoonyesha kuwa kama hali hii haitadhibitiwa haraka na upesi na Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Serikali na Wadau kuna siku tutashuhudia dhahama kubwa nchini Tanzania katika Sekta ya Michezo itakayosababishwa hasa na Msemaji wa Klabu ya Yanga Jerry Muro ambae anaonekana hapa Tanzania yeye ni mtu wa nne kwa umuhimu baada ya Rais, Makamu na Waziri Mkuu.
Huyu msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akija na kauli chafu, mbaya na za dharau dhidi ya mwenzake wa Klabu ya Simba Haji Manara.
Mimi siyo mdau wa mpira wala mfuatiliaji wa mpira na sina hata Klabu ninayoishabikia hapa Tanzania zaidi tu ya Timu Za Taifa ile ya Taifa Stars na Twiga Stars ila nimeguswa kama mtu ninayependa jamii yenye MAADILI.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida akizungumza muda mfupi tu na Kituo cha Redio ambacho kwa 90% kina MAHABA ya wazi na Klabu ya Yanga na kupenda kuwa na CHUKI ya wazi na Klabu ya Simba cha E FM leo Jerry Muro kasema nanukuu " Mtu mzima na akili zako tena Mtoto wa Kiume unaacha kufanya mambo yako kutwa UNAWASHWA WASHWA na kuzunguka huku na kule kuzizungumzia Yanga na Azam kama siyo anataka KUKUNWA huyu anataka nini? " mwisho wa kumnukuu Jerry Muro.
Kama wewe unajijua ni Mdau wa Michezo na Mwana Michezo tafadhali toa maoni yako hapa ya nini kifanyike ili hali hii IKOME au IISHE kabisa kwa maslahi mazima ya mchezo wetu pendwa wa Soka au Kandanda.
Karibuni sana tujadili.
Jerry muro kabaka fani,ataporomosha ladha za mpira nchini na hizo nyimbo zake za taarabu, hivi mtu ukisoma sana ndo unakuwa mjinga mjinga, simpendi huyu jamaa kwa vijembe vyake *****
Jerry Muro ana laana ya kutoka kwao. Alikuwa afungwe kwa bahati MUNGU akamfutia kesi bado kajisahau anajichanganya na vitu visivyomsaidia. Mwisho wake atauona na kuujutia.
Wewe Popoma hakuna asiekujua kuwa wewe ni mnazi wa Mbumbumbu fc a.k.a wa Matopeni. Au unadhani kubadili ID ndio utatuzuga?Katika hali inayoonyesha kuwa kama hali hii haitadhibitiwa haraka na upesi na Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Serikali na Wadau kuna siku tutashuhudia dhahama kubwa nchini Tanzania katika Sekta ya Michezo itakayosababishwa hasa na Msemaji wa Klabu ya Yanga Jerry Muro ambae anaonekana hapa Tanzania yeye ni mtu wa nne kwa umuhimu baada ya Rais, Makamu na Waziri Mkuu.
Huyu msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akija na kauli chafu, mbaya na za dharau dhidi ya mwenzake wa Klabu ya Simba Haji Manara.
Mimi siyo mdau wa mpira wala mfuatiliaji wa mpira na sina hata Klabu ninayoishabikia hapa Tanzania zaidi tu ya Timu Za Taifa ile ya Taifa Stars na Twiga Stars ila nimeguswa kama mtu ninayependa jamii yenye MAADILI.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida akizungumza muda mfupi tu na Kituo cha Redio ambacho kwa 90% kina MAHABA ya wazi na Klabu ya Yanga na kupenda kuwa na CHUKI ya wazi na Klabu ya Simba cha E FM leo Jerry Muro kasema nanukuu " Mtu mzima na akili zako tena Mtoto wa Kiume unaacha kufanya mambo yako kutwa UNAWASHWA WASHWA na kuzunguka huku na kule kuzizungumzia Yanga na Azam kama siyo anataka KUKUNWA huyu anataka nini? " mwisho wa kumnukuu Jerry Muro.
Kama wewe unajijua ni Mdau wa Michezo na Mwana Michezo tafadhali toa maoni yako hapa ya nini kifanyike ili hali hii IKOME au IISHE kabisa kwa maslahi mazima ya mchezo wetu pendwa wa Soka au Kandanda.
Karibuni sana tujadili.
Jerry Muro ni janga la kitaifa kwa taifa, tasnia ya habari na sekta ya michezo nchini; ni fedheha kwa klabu kubwa kama Yanga kuwa na afisa mwandamizi na uso wa klabu ka jerry muro! Jerry Muro is a disgrace to the beautiful game. Simba na Hadji Manara watafute ushauri wa kisheria kuhusu kashfa za aina hiyo. Watoto wanajifunza nini kutoka kwa Jerry Muro?!Katika hali inayoonyesha kuwa kama hali hii haitadhibitiwa haraka na upesi na Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Serikali na Wadau kuna siku tutashuhudia dhahama kubwa nchini Tanzania katika Sekta ya Michezo itakayosababishwa hasa na Msemaji wa Klabu ya Yanga Jerry Muro ambae anaonekana hapa Tanzania yeye ni mtu wa nne kwa umuhimu baada ya Rais, Makamu na Waziri Mkuu.
Huyu msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akija na kauli chafu, mbaya na za dharau dhidi ya mwenzake wa Klabu ya Simba Haji Manara.
Mimi siyo mdau wa mpira wala mfuatiliaji wa mpira na sina hata Klabu ninayoishabikia hapa Tanzania zaidi tu ya Timu Za Taifa ile ya Taifa Stars na Twiga Stars ila nimeguswa kama mtu ninayependa jamii yenye MAADILI.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida akizungumza muda mfupi tu na Kituo cha Redio ambacho kwa 90% kina MAHABA ya wazi na Klabu ya Yanga na kupenda kuwa na CHUKI ya wazi na Klabu ya Simba cha E FM leo Jerry Muro kasema nanukuu " Mtu mzima na akili zako tena Mtoto wa Kiume unaacha kufanya mambo yako kutwa UNAWASHWA WASHWA na kuzunguka huku na kule kuzizungumzia Yanga na Azam kama siyo anataka KUKUNWA huyu anataka nini? " mwisho wa kumnukuu Jerry Muro.
Kama wewe unajijua ni Mdau wa Michezo na Mwana Michezo tafadhali toa maoni yako hapa ya nini kifanyike ili hali hii IKOME au IISHE kabisa kwa maslahi mazima ya mchezo wetu pendwa wa Soka au Kandanda.
Karibuni sana tujadili.
Wewe Popoma hakuna asiekujua kuwa wewe ni mnazi wa Mbumbumbu fc a.k.a wa Matopeni. Au unadhani kubadili ID ndio utatuzuga?
Jerry Muro ni janga la kitaifa kwa taifa, tasnia ya habari na sekta ya michezo nchini; ni fedheha kwa klabu kubwa kama Yanga kuwa na afisa mwandamizi na uso wa klabu ka jerry muro! Jerry Muro is a disgrace to the beautiful game. Simba na Hadji Manara watafute ushauri wa kisheria kuhusu kashfa za aina hiyo. Watoto wanajifunza nini kutoka kwa Jerry Muro?!
Katika hali inayoonyesha kuwa kama hali hii haitadhibitiwa haraka na upesi na Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Serikali na Wadau kuna siku tutashuhudia dhahama kubwa nchini Tanzania katika Sekta ya Michezo itakayosababishwa hasa na Msemaji wa Klabu ya Yanga Jerry Muro ambae anaonekana hapa Tanzania yeye ni mtu wa nne kwa umuhimu baada ya Rais, Makamu na Waziri Mkuu.