Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais
Na kwa akili zako mbovu unaona kabisa ameongea hoja.Jerry ni mwamba sana, katumia lugha ya staha lakini yenye majibu mazito na takwimu.
Jamaa ameiva kabisa, anastahili kuwa mahali pa kusemea jambo. Chama kinatakiwa kuwa na watu kama hawa ambao watakuwa pale idara ya mafunzo na uenezi kwa ajili ya kuwapika makada
Duh..duh..duh..kichaa kimepanda kichwani... Nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje😂😂😂Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais
Jamaa ameiva kabisa😂😂😂😂kwahiyo bado kuliwa tuuuJerry ni mwamba sana, katumia lugha ya staha lakini yenye majibu mazito na takwimu.
Jamaa ameiva kabisa, anastahili kuwa mahali pa kusemea jambo. Chama kinatakiwa kuwa na watu kama hawa ambao watakuwa pale idara ya mafunzo na uenezi kwa ajili ya kuwapika makada
Jerry ni talent kubwa sanaNa kwa akili zako mbovu unaona kabisa ameongea hoja.
IDU hawajaanza kuwatafutia wenza wa kuwaoa?Jamaa ameiva kabisa😂😂😂😂kwahiyo bado kuliwa tuuu
Pombe huwa unakunywa?Jerry ni mwamba sana, katumia lugha ya staha lakini yenye majibu mazito na takwimu.
Jamaa ameiva kabisa, anastahili kuwa mahali pa kusemea jambo. Chama kinatakiwa kuwa na watu kama hawa ambao watakuwa pale idara ya mafunzo na uenezi kwa ajili ya kuwapika makada
HahahaJamaa ameiva kabisa😂😂😂😂kwahiyo bado kuliwa tuuu
Kuna pombe ambayo unatumia bila kunywa?Pombe huwa unakunywa?
Mnacho fanya ni ku BLACKMAIL kwa Sasa WATANZANIA wanajua mbivu na mbichi..Jerry ni mwamba sana, katumia lugha ya staha lakini yenye majibu mazito na takwimu.
Jamaa ameiva kabisa, anastahili kuwa mahali pa kusemea jambo. Chama kinatakiwa kuwa na watu kama hawa ambao watakuwa pale idara ya mafunzo na uenezi kwa ajili ya kuwapika makada
Nimenukuu ulichoandika kisha nikakuuliza.. Je hujaelewa? Au huwezi kujibu?IDU hawajaanza kuwatafutia wenza wa kuwaoa?
Mtafanya pombe zikatazwe mkuuKuna pombe ambayo unatumia bila kunywa?
Jibu swali languNimenukuu ulichoandika kisha nikakuuliza.. Je hujaelewa? Au huwezi kujibu?