PreGE2025 Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais

PreGE2025 Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nendeni pale media pendwa yenu wanawapigia mpaka shw mikutanonyenu mapapai yamejaa kibao
Au huwaoni

Ova
Hivi kweli Heche na yeye anaachia the river between watu wanakula? Watu wana siri balaa
 
Gwajima amejitenga na TEAM CHAWA amejiunga na TEAM HAKI.
 
Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais






Hoja Alizoshindwa kujibu Jerry Muro

1) ni nani anaeteka na kuuwa waTanzania?

2) kama sio vyombo vya usalama. Je, vyombo vyetu vya usalama ni incompetent kiasi cha kushindwa kujua ni akina nani?

3) na kama vyombo vya usalama vinajua ni akina nani. Kwanini haviwatii mbaroni?

4) je, kuna mwanasiasa anayetumia madaraka yake vibaya kuwakingia kifua watekaji na wauwaji?
 
Jerry kachanganyikiwa anasema hataki kujibishana na Gwaji maana anamjua hivyo anamshauri tuu.. Si angemtafuta personal?
 
Jerry kachanganyikiwa anasema hataki kujibishana na Gwaji maana anamjua hivyo anamshauri tuu.. Si angemtafuta personal?

What a tardy, this guy is disgraceful, he is licking up. So the reason he is coming out against Gwajima is because he was given some favor by the disgraceful Samia. Watanzania got to wake up, do not vote for trashes like this punk. He doesn’t care about Tanzanians. It is painful to see a man licking up to get recognition from the top, disregarding all the ills of this government. He never at any point challenged Gwajima by addressing the issue at hand. This is craziness.
 
Back
Top Bottom