PreGE2025 Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jerry ni mwamba sana, katumia lugha ya staha lakini yenye majibu mazito na takwimu.

Jamaa ameiva kabisa, anastahili kuwa mahali pa kusemea jambo. Chama kinatakiwa kuwa na watu kama hawa ambao watakuwa pale idara ya mafunzo na uenezi kwa ajili ya kuwapika makada
 
Na kwa akili zako mbovu unaona kabisa ameongea hoja.
 
Jamaa ameiva kabisa😂😂😂😂kwahiyo bado kuliwa tuuu
 
Pombe huwa unakunywa?
 
Mnacho fanya ni ku BLACKMAIL kwa Sasa WATANZANIA wanajua mbivu na mbichi..

Hizi Ndizo propaganda enzi za UJIMA kuwa mshabik au mshirika wa CCM ni inakubidi uwe na moyo mgumu kama farao.

NB.
Hakuna mtu ALIE wai ku battle na GWAJIMA na akatoboa / akamshinda LABDA mchukue bunduki Ila kwa hoja hamuwezi kumshinda yeye ni sauti ya wasio na sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…