Kampa kampa tenaYule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya Taifa.
Chanzo: TBC
usikurupuke kusema kijans unatakiwa ujipange tenaa hajarud tbc kutangaza ila jamaa ni host wa sumatra wao kama wao wanaandaa kipind kipnd cha mahojiano kuhusu sumatra vinapelekwa itv na tbc na kurushwaa ni sawa na ephraim kibonde na kipnd cha maisha ni nyumba kinavyorushwa itv unaweza kusema kahama clouds kwenda itv kumbe tofaut jifunze kutofautisha mtangazaji permanent na kipnd maalumuYule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya Taifa.
Chanzo: TBC
soma comment juu ueleweVip ataendelea na zile habari zake za uchunguzi kama zile za kipindi kile za rushwa za askari wa usalama barabarani?
yupo TBC tayari uko wapi mpaka usijue
Kijana asipokuelewa basi tena....usikurupuke kusema kijans unatakiwa ujipange tenaa hajarud tbc kutangaza ila jamaa ni host wa sumatra wao kama wao wanaandaa kipind kipnd cha mahojiano kuhusu sumatra vinapelekwa itv na tbc na kurushwaa ni sawa na ephraim kibonde na kipnd cha maisha ni nyumba kinavyorushwa itv unaweza kusema kahama clouds kwenda itv kumbe tofaut jifunze kutofautisha mtangazaji permanent na kipnd maalumu