Jerry Muro arudi tena TBC kutangaza

Jerry Muro arudi tena TBC kutangaza

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Yule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya Taifa.

Chanzo: TBC
JERRY%2BMURO%2B0.jpg
 
Yule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya Taifa.

Chanzo: TBC
usikurupuke kusema kijans unatakiwa ujipange tenaa hajarud tbc kutangaza ila jamaa ni host wa sumatra wao kama wao wanaandaa kipind kipnd cha mahojiano kuhusu sumatra vinapelekwa itv na tbc na kurushwaa ni sawa na ephraim kibonde na kipnd cha maisha ni nyumba kinavyorushwa itv unaweza kusema kahama clouds kwenda itv kumbe tofaut jifunze kutofautisha mtangazaji permanent na kipnd maalumu
 
Mkuu, hicho ni kipindi cha Sumatra mbona anatangaza kila Jumatano. Hajarudi yeye ndio anakiendeshwa kupitia Sumatra
 
Vip ataendelea na zile habari zake za uchunguzi kama zile za kipindi kile za rushwa za askari wa usalama barabarani?
 
kwa serikali hii atapotea kama upepo
 
Mkuu, hicho ni kipindi cha Sumatra mbona anatangaza kila Jumatano. Hajarudi yeye ndio anakiendeshwa kupitia Sumatra
yupo TBC tayari uko wapi mpaka usijue
 
usikurupuke kusema kijans unatakiwa ujipange tenaa hajarud tbc kutangaza ila jamaa ni host wa sumatra wao kama wao wanaandaa kipind kipnd cha mahojiano kuhusu sumatra vinapelekwa itv na tbc na kurushwaa ni sawa na ephraim kibonde na kipnd cha maisha ni nyumba kinavyorushwa itv unaweza kusema kahama clouds kwenda itv kumbe tofaut jifunze kutofautisha mtangazaji permanent na kipnd maalumu
Kijana asipokuelewa basi tena....
 
Back
Top Bottom