barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
hivi kwa nini msemaji wa timu asiwe kocha au kocha msaidizi , kuliko kuwapa hawa vichaa hizo kazi
Yanga wana vigezo, kuwa msemaji wao, LAZIMA CV yako ionyeshe ulipiga taarab bendi fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kwa nini msemaji wa timu asiwe kocha au kocha msaidizi , kuliko kuwapa hawa vichaa hizo kazi
Mlipeni Singano
huna adabu.
Mkosa Sera yeyote hukimbilia matusi!