Jerry Muro atimuliwa Yanga kwa utovu wa nidhamu

Jerry Muro atimuliwa Yanga kwa utovu wa nidhamu

Msemaji wa Club kwa wenzetu ni taaluma maalum.
Na ndio maana hata kwenye uandishi wa Habari kuna uandishi wa habari wa mambo ya Kisiasa,Michezo,mambo ya kijamii,na hata tuzo hutozwa kulingana na upande huo.
Sasa wenzetu huenda kusomea kabisaa,uandishi wa Habari za Michezo as Professional.Ila hapa kwetu ni zoa zoa.
Simba na Wanya wote wanavimeo.
 
Back
Top Bottom