Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Hizi hujuma hazi kubariki kabsa , huu utoto haufai kabsa kuingilia biashara za watu
 
Tuambieni kwahyo mashabiki tufanyaje, twende fiesta au show ya makonda?
 
Vioja vya kufungia mwaka vishaanza,endelea kuleta vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…