heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 920
- 526
Mbona povu wakati ni ushauri tu?!!Lipa kwanza kodi ya nyumba uje kubishana hapa kwa hoja weka tofauti kati ya Free to Air channel na Subscriber channel ambazo unalipia Heavy Load (Mzigo Mzito) Clouds Plus ni subscriber chanel inayokulazimu ulipie ili upate huduma.
Kuuchukua au kuuacha,by the way mimi naweza kuwatunza watu kama wewe zaidi ya kumi bila kuwalipisha maana siishi kwa kupanga vibanda kama wewe .
Namiliki sio nyumba tu bali majumba.[emoji95] [emoji104]