Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Majina ya wanamkakati wengine ambao walikutana katika kikao cha Jana usiku Masaki Kwa mkuu wa Mko ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (TRA)
2. ACP Emmanuel kilerwa
3. Abdilahi Jihad (NON)
4. Said Ally Mbarouk (NON)
5. Jeniffer Mpangala (TRA)

Kikao kilichofanyika jana usiku Nyumbani Kwa Mhe. Walijadili kuhusu ukaguzi wa Vifaa vitakavyotumika katika Fiesta na matumizi ya risiti za EFD. Jambo kingine walijadili kuhusu kipindi cha Joto la Asubuhi ambapo kitaruka kesho tarehe 17-11-2017.

Makubwa!
Vipi Clouds imepona na Janga la Moto?
 
Tatizo ni kwamba CM G wamekwama kimkakati sasa wanatafuta nusra kwa habari za kishilawadu.
Walianzisha clouds plus wakashindwa kuirun,matokeo yake wanawataka watu walipie kuangalia show za fiesta.

Ushauri wangu ikiwezekana Joseph Kusaga amtafutie Ruge kazi nyingine maana huyu jamaa ataipeleka CM G kuzimu ni suala la muda tu!
 
Kama ni kweli, huu uhujumu ni mbaya sana na ni wa kukemewa na jamii yote ya wapenda haki.
 
Kuna mpango mkakati ulioundwa na Team ya Makonda kwa ajili ya kuidhibiti timu ya Fiesta katika mkoa wa Dar es salaam. Makonda na wenzake wana mkakati juu ya mpango wa kuharibu show ya Fiesta Kwa hali na mali siku ya Tarehe 25-11-2017.

Wanamkakati wa Mtandao huo wakiongozwa na Jerry Muro pamoja William Malecela (Lemutuz) wametajwa kuunda kikosi cha mipango wa kuvuruga show ya Fiesta. Habari hizi zimekuja baada ya juzi kugomea mahojiano ya kushirikiana na waandaji wa Fiesta.

Leo asubuhi majira ya saa tano William Malecela (Lemutuz) alionekana katika vituo tofauti vya Bodaboda cha Mbuyuni, Salasala Manzese Darajani pamoja na Kigogo alionekana akizungumza na baadhi ya vijana wa Bodaboda ambao amewahaidi kuwapa Mafuta Kwa ajili ya kusindikiza msafara wa mkuu wa mkoa akienda katika show aliyoianda siku ya Jumamosi na kituo cha redio cha EFM.

Lengo la kuandaa msafara ni kutaka kuonyesha kuwa ni mtu anayependwa sana na kituo cha EFM kinakubalika kuliko kituo cha Clouds Fm.

Wawili hawa (Lemutuz na Jerry Muro) wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kuharibu Fiesta pamoja na mzito huyo.

Zoezi lingine lililopangwa katika siku hiyo ya Jumamosi na Timu hiyo ya Waovu ni kuwaleta vilema waliokosa miguu kuwa wanafunzi wenye ulemavu na wapatiwe bure.

Majina yao ni
Zainab Hamissi
Sultan Gonga
Bahati Ally
Advera Shoo
Juma Ally
Aisha Mkoba
Mwanamvua Mkambara
Shukuru kuyoha
Mwidadi Mapunga

Jambo hilo limeratibiwa pia na baadhi ya waandaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi kupitia kwa ndugu Abel Onesmo zoezi hili uwepo wake ni wa Siri sana kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa mkoa.

Majina ya wanamkakati wengine ambao walikutana katika kikao cha Jana usiku Masaki Kwa mkuu wa Mko ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (TRA)
2. ACP Emmanuel kilerwa
3. Abdilahi Jihad (NON)
4. Said Ally Mbarouk (NON)
5. Jeniffer Mpangala (TRA)

Kikao kilichofanyika jana usiku Nyumbani Kwa Mhe. Walijadili kuhusu ukaguzi wa Vifaa vitakavyotumika katika Fiesta na matumizi ya risiti za EFD. Jambo kingine walijadili kuhusu kipindi cha Joto la Asubuhi ambapo kitaruka kesho tarehe 17-11-2017.

Makonda atakuwa anahojiwa kuelezea habari za mabahari na show ya wanafunzi ya bure waliyoianda siku ya Jumamosi kingine ni kuhusu zoezi la ugawaji miguu mabandia.

Kuna hatihati ya mtangazaji wa EFM kusimamishwa kutokana na kupingana na ujio wa Mkuu wa Mkoa katika kipindi hicho.

Siri imevuja...!
HUWEZI KUSHINDA VITA UKIWA NA NJAA.
maneno mazito sana ...vitendo vizito sana....napita tuuu
 
Fiesta ina umuhimu gani kuliko msaada kwa walemavu?
hapo umenena ndugu.wataalamu wa kivita wana kwambia ukitaka kushindana na adui ongeza taaluma ya vilipuzi.miaka ya nyuma clouds ndio ilikuwa mabingwa wa fitina kwenye soko la burudani wajaribu kuongeza juhudi ya vilipuzi katika kazi zao
 
Naskia Bashite atawatembelea leo.
 
Mm na nawashauri cloudz waanzie sokoni kwanza,,
Kinchowatafuna n
kuisapoti ccm na serikali yake
Wanashindwa ata kukosoa serikali inapokoseaa
Sasa huyu mliemfanya kama ndugu na rafiki katika business atawasumbua sana kwan nae anawafasi wake sokoni
 
Tatizo ni kwamba CM G wamekwama kimkakati sasa wanatafuta nusra kwa habari za kishilawadu.
Walianzisha clouds plus wakashindwa kuirun,matokeo yake wanawataka watu walipie kuangalia show za fiesta.

Ushauri wangu ikiwezekana Joseph Kusaga amtafutie Ruge kazi nyingine maana huyu jamaa ataipeleka CM G kuzimu ni suala la muda tu!

Jina lako ni Heavy Load na Ubongo unaweza kuwa heavyload pole rafiki.
 
Mpumbavu akishauriwa huona katukanwa!!!

Lipa kwanza kodi ya nyumba uje kubishana hapa kwa hoja weka tofauti kati ya Free to Air channel na Subscriber channel ambazo unalipia Heavy Load (Mzigo Mzito) Clouds Plus ni subscriber chanel inayokulazimu ulipie ili upate huduma.
 
Back
Top Bottom