Jerry Muro tueleze zile pingu ulikamatwa nazo zilikuwa za nini? Je wewe ni polisi?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
4,009
Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .

Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa Taifa katika mambo yasiyomuhusu alimradi upatiwe udistrict commissioner.

Unaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
 
Kweli kwasasa Kuna machawa wengi katika jamii yetu ila kuleta uchawa katika mambo ya Msingi kama aliyo zungumza Gwajima uo sio uchawa uko ni kuisaliti Nchi.

Ili takiwa kwasasa kuwe na Mabango makubwa, picha kubwa za Gwajima kwenye Magari, bajaji n. k
Uyu Gwajima amefanya jambo kubwa la kustahili pongezi ili wahusika wachukue hatua Nchi yetu ipone.

Katika hili ndugu Tarimba na Jery Muro wamekuwa Wasaliti na swala ili litawatafuna uko tunapo elekea
 
They do attack matters and not subjects. Hawajajipanga kujibu hoja zake matokeo yake wanaharibu kabisa
 
Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .

Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa Taifa katika mambo yasiyomuhusu alimradi upatiwe udistrict commissioner.

Unaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
Safi huyu mpuuzi anaweza akafanya chochote ili apate cheo! Ni kweli alikuwa muanzilishi wa Utekaji abishe!
 
Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .

Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa Taifa katika mambo yasiyomuhusu alimradi upatiwe udistrict commissioner.

Unaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
How it started😀😀
 
Kweli kwasasa Kuna machawa wengi katika jamii yetu ila kuleta uchawa katika mambo ya Msingi kama aliyo zungumza Gwajima uo sio uchawa uko ni kuisaliti Nchi.

Ili takiwa kwasasa kuwe na Mabango makubwa, picha kubwa za Gwajima kwenye Magari, bajaji n. k
Uyu Gwajima amefanya jambo kubwa la kustahili pongezi ili wahusika wachukue hatua Nchi yetu ipone.

Katika hili ndugu Tarimba na Jery Muro wamekuwa Wasaliti na swala ili litawatafuna uko tunapo elekea
Mhmm kuwaamini hao watu ni mtihani mkubwa sana ,naona no reform inazimwa kimtindo hapa
 
Yaani tumekua kama Kundi kubwa La Nyumbu, mwenzetu anakamatwa na Simba na kuliwa mbele ya macho yetu tunashangaa.
Anatokea mmoja anasema jamani tunaliwa kizembe tusipo chukua hatua tutaisha, Wanatokea Wapuuzi wengine Wana sema hatuliwi sisi na wanaona tunaliwa live.
 
Yaani tumekua kama Kundi kubwa La Nyumbu, mwenzetu anakamatwa na Simba na kuliwa mbele ya macho yetu tunashangaa, anatokea mmoja anasema jamani tunaliwa kizembe tusipo chukua hatua tutaisha, Ana Wanatokea Wapuuzi wengine Wana sema hatuliwi sisi na wanaona tunaliwa live.
Nani wa kumfunga paka kengele ?, 🎤kwako panya msinambi.
 
Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .

Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa Taifa katika mambo yasiyomuhusu alimradi upatiwe udistrict commissioner.

Unaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
Ndo haohao wasiojulikana.
Nchi imekuwa ya hovyo sana
 
Kumbe utekaji ni tangu zamani baba!
Zile pingu zako zilikuwa zinafanya kazi husika sio! natania tu mzee baba!
Sasa kama yeye sio polisi na anakutwa na pingu huyo SI mtekaji?? Hawa watekaji wa Sasa nao tunaambiwa wakija hawakosi pingu
 
Back
Top Bottom