They do attack matters and not subjects. Hawajajipanga kujibu hoja zake matokeo yake wanaharibu kabisaKweli kwasasa Kuna machawa wengi katika jamii yetu ila kuleta uchawa katika mambo ya Msingi kama aliyo zungumza Gwajima uo sio uchawa uko ni kuisaliti Nchi.
Ili takiwa kwasasa kuwe na Mabango makubwa, picha kubwa za Gwajima kwenye Magari, bajaji n. k
Uyu Gwajima amefanya jambo kubwa la kustahili pongezi ili wahusika wachukue hatua Nchi yetu ipone.
Katika hili ndugu Tarimba na Jery Muro wamekuwa Wasaliti na swala ili litawatafuna uko tunapo elekea
Safi huyu mpuuzi anaweza akafanya chochote ili apate cheo! Ni kweli alikuwa muanzilishi wa Utekaji abishe!Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .
Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa Taifa katika mambo yasiyomuhusu alimradi upatiwe udistrict commissioner.
Unaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
How it started😀😀Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .
Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa Taifa katika mambo yasiyomuhusu alimradi upatiwe udistrict commissioner.
Unaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
Mhmm kuwaamini hao watu ni mtihani mkubwa sana ,naona no reform inazimwa kimtindo hapaKweli kwasasa Kuna machawa wengi katika jamii yetu ila kuleta uchawa katika mambo ya Msingi kama aliyo zungumza Gwajima uo sio uchawa uko ni kuisaliti Nchi.
Ili takiwa kwasasa kuwe na Mabango makubwa, picha kubwa za Gwajima kwenye Magari, bajaji n. k
Uyu Gwajima amefanya jambo kubwa la kustahili pongezi ili wahusika wachukue hatua Nchi yetu ipone.
Katika hili ndugu Tarimba na Jery Muro wamekuwa Wasaliti na swala ili litawatafuna uko tunapo elekea
Yaani tumekua kama Kundi kubwa La Nyumbu, mwenzetu anakamatwa na Simba na kuliwa mbele ya macho yetu tunashangaa.Mhmm kuwaamini hao watu ni mtihani mkubwa sana ,naona no reform inazimwa kimtindo hapa
Nani wa kumfunga paka kengele ?, 🎤kwako panya msinambi.Yaani tumekua kama Kundi kubwa La Nyumbu, mwenzetu anakamatwa na Simba na kuliwa mbele ya macho yetu tunashangaa, anatokea mmoja anasema jamani tunaliwa kizembe tusipo chukua hatua tutaisha, Ana Wanatokea Wapuuzi wengine Wana sema hatuliwi sisi na wanaona tunaliwa live.
Ndo haohao wasiojulikana.Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .
Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa Taifa katika mambo yasiyomuhusu alimradi upatiwe udistrict commissioner.
Unaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
Ewaaaaaa ubaya ubayaUnaonekana una uhakika utekaji upo tangu zamani na wewe uliwahi kukamatwa ukiwa na pingu na wewe sio polisi je wewe ni miongoni kwa watekaji??
Kumbe utekaji ni tangu zamani baba!erry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .
Sasa kama yeye sio polisi na anakutwa na pingu huyo SI mtekaji?? Hawa watekaji wa Sasa nao tunaambiwa wakija hawakosi pinguKumbe utekaji ni tangu zamani baba!
Zile pingu zako zilikuwa zinafanya kazi husika sio! natania tu mzee baba!
No reform no election iko pale pale, ila kupigania maisha ya watanzania ni kipaumbele cha muda wote!Mhmm kuwaamini hao watu ni mtihani mkubwa sana ,naona no reform inazimwa kimtindo hapa