johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kijana wa KichagaJerry kawachana vilivyo hawa waandishi kanjanja
ukweli haupuuzikiApuuzwe huyo mfa maji.
Kazaliwa Ubungo, 'nchi' ya wazaramo unategemea nini (Utani huo jamani, kijiti na macho!)Alafu jamaa anaongea huyo, amezi hata mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante, naona analeta uprof lipumba.Ni yeye, hata hilo kaliongelea na kudai kuwa zilikuwa figisu za utawala uliopita.
Ukiona hivyo, nawamudu, anajua madhaifu yao! Mtangazaji mahili wa mahojiano toka lini akadhibitiwa na anayemuhoji!?Jamaa anaongea hadi watangazaji wananshindwa kummudu
Yeye ndio alikuwa anawaongoza watangazaji yaani alitawala kipindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu jamaa anaongea huyo, amezi hata mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo umenena, hata mimi nimemshangaa akisema mabilioni hayo ya waliyokuwa wakilipwa wenye vyeti feki yameokolewa! anasahau kwamba kwakuondolewa kazi lazima nafasi zao zizibwe na hela ileile itakuwa inalipwa. Nadhani Muro anasaka ajira kianaSema umemwelewa wewe na waJingalao wenzio, nani wa kusumbuka na huyo blackmailer!! Ameshapata kanafasi ka kutetea ujinga kwa ujira mwembamba anajiona mjanja? Mbali ya madhaifu yao yote lakini kwa huyu polisi walifanya kitu sahihi sana. Billion 5 zimeokolewa kwenda wapi wakati waliokuwa wanalipwa walikuwa watumishi halali wa serikali mpaka ilipogundulika vinginevyo? Kama hawakuwa na ufanisi kazini mamlaka zinazowasimamia zilichukua hatua gani dhidi yao? Utasemaje fedha imeokolewa wakati walikuwa wanalipwa kwa Kazi walizokuwa wameajiriwa na wanazifanya? Mwandishi makini haiishii kushabikia bila kuhoji mantiki ya zoezi na jinsi lilivyoendeshwa. Kitendo cha kada moja kuondolewa kazini kwa kosa moja na kada nyingine kuachwa kwa kosa hilohilo yeye anaona ni sahihi, Uteuzi bado unaendelea na Kazi ziko nyingi mpeni u-Rc wa Dodoma.
Mbona sio mweupe,nadhan ni maji ya kunde.Au sijamuangalia vzur[emoji4]Aisee, kumbe jamaa mweupe namna hii.
Ndo maana nikasema tukiwa na watu wasiotafakari chochote kinachosemwa na mkubwa na kisha kutangazia umma bila ufafanuzi ni janga. Hawa ndo wanaotutangazia kwenye vyombo vya habari "MAITI 6 ZIMEOKOLEWA".Hapo um
Hapo umenena, hata mimi nimemshangaa akisema mabilioni hayo ya waliyokuwa wakilipwa wenye vyeti feki yameokolewa! anasahau kwamba kwakuondolewa kazi lazima nafasi zao zizibwe na hela ileile itakuwa inalipwa. Nadhani Muro anasaka ajira kiana
Wekeni hapa maelezo yake yote,sio vipandevipande..