Jerry Muro: Vyombo vya habari vimemuona Bashite tu vyeti feki? Zitto Kabwe hafai Urais TFF

Jerry Muro: Vyombo vya habari vimemuona Bashite tu vyeti feki? Zitto Kabwe hafai Urais TFF

Mwandishi maarufu nchini Tanzania Jerry murro amesema Zitto kabwe hafai kuwa rais wa TFF kwasababu ni mbinafsi na mtu wa kimaslahi zaidi.Jerry ameyasema hayo ktk Kipindi za 360 kinachorushwa na clouds TV. Sanjari na hilo Jerry amesema jimbo la ubongo linaitaji kiongozi mwenye vision ili kutatua kero za wananchi.Habari zilizopo(tetesi) ni kwamba jerry analinyemelea jimbo la ubungo 2020
Mwandishi maarufu?[emoji15] [emoji15]
 
JERRY MURO ALIVYOSEMA KUHUSU ZITTO KABWE KUIONGOZA TFF

“Hapana! Zitto Kabwe hawezi kuiongoza TFF. Zitto ni mwanasiasa ambaye anatazama maslahi yake, hatazami maslahi ya watu wengine.

"Hafai kuiongoza TFF kwa sababu ni mbinafsi, ni mmimi. Kama mtu ameshindwa kukaa na wenzie akaamua kwenda kuanzia chama chake na akahakikisha yeye mwenyewe anakiongoza. Hapana, Zitto hafai kwavile ni mbinafsi.”

– Jerry Muro.
91dc3d58498df4f93cde383aca2cefae.jpg
 
Zitto hakushindwa kukaa na wenzake,wenzake ndio walishindwa kukaa nae na wakamfukuza

Akili za kuvukia barabara hizi
 
JERRY MURO ALIVYOSEMA KUHUSU ZITTO KABWE KUIONGOZA TFF

“Hapana! Zitto Kabwe hawezi kuiongoza TFF. Zitto ni mwanasiasa ambaye anatazama maslahi yake, hatazami maslahi ya watu wengine.

"Hafai kuiongoza TFF kwa sababu ni mbinafsi, ni mmimi. Kama mtu ameshindwa kukaa na wenzie akaamua kwenda kuanzia chama chake na akahakikisha yeye mwenyewe anakiongoza. Hapana, Zitto hafai kwavile ni mbinafsi.”

– Jerry Muro.
91dc3d58498df4f93cde383aca2cefae.jpg

Huyu ndo anatishaga watu na pingu ili apewe pesa??..mpuuzeni tu..
 
Nimemtazama kwenye 360 leo asbh akiropoka nadhani alikua kwenye heat leo maana alikua mcharuko flani hivi
 
huyu ni ccm, msisahau aligombea ubunge kura za maoni jimbo la Kawe 2015, pia ziliwahi kutokea fununu ameteuliwa kuwa naibu wa Gerson Msigwa. mwanaccm yeyote mwenye matamanio na kitu fulani hawezi kuukosoa utawala huu sababu hatopata anachokitamani. kuhusu Zitto nakubaliana na Muro.
 
Back
Top Bottom