Sema umemwelewa wewe na waJingalao wenzio, nani wa kusumbuka na huyo blackmailer!! Ameshapata kanafasi ka kutetea ujinga kwa ujira mwembamba anajiona mjanja? Mbali ya madhaifu yao yote lakini kwa huyu polisi walifanya kitu sahihi sana. Billion 5 zimeokolewa kwenda wapi wakati waliokuwa wanalipwa walikuwa watumishi halali wa serikali mpaka ilipogundulika vinginevyo? Kama hawakuwa na ufanisi kazini mamlaka zinazowasimamia zilichukua hatua gani dhidi yao? Utasemaje fedha imeokolewa wakati walikuwa wanalipwa kwa Kazi walizokuwa wameajiriwa na wanazifanya? Mwandishi makini haiishii kushabikia bila kuhoji mantiki ya zoezi na jinsi lilivyoendeshwa. Kitendo cha kada moja kuondolewa kazini kwa kosa moja na kada nyingine kuachwa kwa kosa hilohilo yeye anaona ni sahihi, Uteuzi bado unaendelea na Kazi ziko nyingi mpeni u-Rc wa Dodoma.