Jerry Muro: Vyombo vya habari vimemuona Bashite tu vyeti feki? Zitto Kabwe hafai Urais TFF

Hatumtaki Dodoma atuletee midomo ya uYanga, namshauri angetulia maana aliposimamkshwa liwa msemaji wa Club alitutupia Barua ya Jerry Msigwa kuwa naye kaenda Ikulu kuwa mwandishi msaidizi wa Rais, sasa tena Dodoma duh
 
Clouds nao hawajitambui, unampa vipi airtime mtu kama huyo anayesema media zifungiwe

Media zikifungiwa hizo pumba zake angezisemea wapi
Walitumwa na bashi, te
 
ukuu wa mkoa hauitaji vyeti bali kusoma na kuandika 'A E I O U'
 
Bilioni tano zimeokolewaje na watu walikuwa wanafanya kazi. Watanzania tunadanganywa!!!
 
We ndo huelewi. Kama yupo Huyo bashite n mtu mmoja. Tena wa mkoa mmoja wa zaidi ya Mikoa 20. ya Tz. Sasa watanazania Hamfanyi kazi kujadili mtu mmoja ma sio kwamba kwa ajili ya uchungu mana mantiki hakuna Ila ndo tulivyo wabongo no kazi mission towns. Mitandao imetumeza inatucontrol. Kila wakati issue itatafutwa ndogo kwa ukubwa wa nchi lakini itakuzwa. Mtz kila siku anatafuta scape goat ya matatizo yake. Ila hatujioni. Ndo mana mdada fulani hamuhoji wala kumwuuliza. Na akiulizwa na mtu makini Block .sifa za Dictator originale kabisa ila hawaoni. Sasa mapesa yameingia uuuwiii. Maskini hatuna hela mtandaoni 24/7
 
Mbona na makonda analipwa kwa kazi anayofanya lakini bado unapiga kelele? Acha kujichanganya, kwa hiyo hao waliona vyeti vya kugushi wao ni sawa kuendelea na kazi isipokuwa makonda tu?
 
io mastazi kachukulia wapi na mimi nikaombe wanipe??
 
Clouds nao hawajitambui, unampa vipi airtime mtu kama huyo anayesema media zifungiwe

Media zikifungiwa hizo pumba zake angezisemea wapi
Ana laana huyo alianza kumsaliti mzee Mengi kwa Manji, sasahivi kamsaliti Manji kwa Bashite.
 
Samahani jery ni ke au me baada ya yabkujibiwa nakuja
 
Mario huyoo...anatumia kauli mbiu ya mjini msingi paipu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…