I know the right of the accused person, he has fundamental right under the constitution, presumption of innocence. "No body is guilty until he is proved guilty" not "guilty till proved innocent" If I was jurror in this case I would find Jerry Muro guilty as charged because prosecution has proved its case beyond reasonable doubt. I cannot fathom how a prominent reporter found with handcuff and at different occasion seen with a person who is alleged misappropriation of public funds. Peace no hate
Wadau leo nimekaa nikajikuta namkumbuka kijana mtanashati Jerry Muro aliyeruka Mkojo akakanyaga nanihii!,
Siku hizi yupo wapi??.
Umesikia wapi kwamba hicho ulichoandika ni cha ukweli??, Chunga vidole vyako ndugu mimi ni mwanadamu na nina utashi kuliko unavofikiria!hata kama ulikuwa humpendi lakini sidhani kama ni uungwana kushabikia matatizo yake.
Umesikia wapi kwamba hicho ulichoandika ni cha ukweli??, Chunga vidole vyako ndugu mimi ni mwanadamu na nina utashi kuliko unavofikiria!
Respect!
Nampenda Jerry Muro ni shujaa wetu wanyonge. Yahu atamwinua hata kama Watu waovu wanamwangamiza. Jerry Upaterehema. Kumbuka Hakuna raha inayokuja bila kusota kidogo. Mkumbuke YUsuf Ktk Biblia alisota miaka 12 kwa hiyana ya mke mzinzi lakini baadaye alipeta. Jipe nguvu. Nasikitika kila nikimwona kiingia Kizimbani
Hana lolote badala ya ku deal na mafisadi papa anahangaika na polisi
Unaona 2livyo hata kama alikuwa na yake lakini alikuwa anafanya ki2 kizuri ,wengine mnamdhihaki,acha mambo hayo........